Simba imeshindwa kuibuka na point tatu muhimu katika uwanja wa Kambarage Shinyanga mbele ya Mwadui fc baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 hivyo Kupunguza pengo la point na Yanga.