Kikosi kamili cha simba kinachoanza leo dhidi ya Singida United kuwania kombe la CECAFA-Kagame cup 2018,Kagere akianza na Mohammed Rashid wakati Adam Salamba akisubiri benchi.