Simba yasimamishwa Shinyanga na Mwadui fc by @Kipingu TV - Post Details

Simba yasimamishwa Shinyanga na Mwadui fc

Simba imeshindwa kuibuka na point tatu muhimu katika uwanja wa Kambarage Shinyanga mbele ya Mwadui fc baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 hivyo Kupunguza pengo la point na Yanga.

Similar Posts!