Dar24 Media's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Angel Gamondi amesema kwa sasa Kiungo Mshambuliaji ‘Winga’ wake Mahlatsi Makudubela ‘Skudu’ hayupo kwenye mipango yake na amempa programu maalum kwa ajili ya kumuweka sawa kabla hajaanza kumtumia kwenye kikosi chake huku akisema hakuna mchezaji aliye juu ya timu. Skudu alijiunga na Young Africans kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mallumo Gallant ya Afrika Kusini, ambapo tangu amejiunga na timu hiyo amefanikiwa kucheza mechi moja ya kimashindano kabla ya kuumia goti ambalo lilimpelekea arejee kwao Afrika Kusini kabla ya kurudi tena nchini juma lililopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #yangasc #asecmimosas #gamondi
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #zambia #robertinho
Kramo ni kati ya wachezaji wapya wa kigeni waliosajiliwa na timu hiyo katika dirisha hili kubwa ambao wamekuja kuleta ushindani na kuipa makombe, kuipeleka hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Muivory Coast huyo anatarajiwa kukutana na ushindani kutoka kwa Luis Miqquissone, Clatous Chama, Willy Onana na Kibu Denis katika msimu ujao. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #chama #miquissone
Baada ya kuumia kwa Mlinda Lango kutoka nchini Brazil Jefferson Luis na kuthibitika hatokuwa sehemu ya kikois cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC msimu ujao 2023/24, Uongozi wa klabu hiyo umeingia katika mchakato mzito wa kuziba pengo la Mlinda Lango huyo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #usajili #ahmedally
Nataka kuona kila mchezaji wakiwemo Miquissone na Onana, Ngoma na wengine wajitume kwa asilimia zote kupata nafasi, tumesajili wachezaji wazuri kinachofuata ni kutengeneza timu yenye muunganiko imara na kuweza kupata matokeo ya ushindi katika kila mchezo ambao tutacheza -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #robertinho #miquissone
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #miquissone #usajili
Lazima tusajili wachezaji wapya wenye ubora na ari ya kuipambania timu na kuhakikisha tunafikia malengo, na katika usajili pia wapo watakaotupisha na ni jambo la kawaida. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #ahmedally #simbasc #usajili