Content removal request!


SIMBA KWACHAFUKA!: AUBIN KRAMO AANZISHA VITA/ AMVAA MIQUISSONE, CHAMA/ CAF YATAJWA/KAZI IPO!

Kramo ni kati ya wachezaji wapya wa kigeni waliosajiliwa na timu hiyo katika dirisha hili kubwa ambao wamekuja kuleta ushindani na kuipa makombe, kuipeleka hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Muivory Coast huyo anatarajiwa kukutana na ushindani kutoka kwa Luis Miqquissone, Clatous Chama, Willy Onana na Kibu Denis katika msimu ujao. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #chama #miquissone