Content removal request!


KOCHA APANDISHA JEURI UTURUKI/ NGOMA, ONANA LUIS WATAJWA/ TUNASUBIRI MUDA/ REKODI ITAVUNJWA/ NJOONI

Nataka kuona kila mchezaji wakiwemo Miquissone na Onana, Ngoma na wengine wajitume kwa asilimia zote kupata nafasi, tumesajili wachezaji wazuri kinachofuata ni kutengeneza timu yenye muunganiko imara na kuweza kupata matokeo ya ushindi katika kila mchezo ambao tutacheza -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #robertinho #miquissone