Azam TV   

Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“The official Azam TV on Twitter | Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000”

 Report User

Highlights

“Ni jukumu letu kupambana ili kupata matokeo mazuri” – Kiungo wa Taifa Stars, Himid Mao akijibu maswali ya wanahabari kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Niger. Ni mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania vs Niger, kesho saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2kwa Tanzania pekee…



NBC PL: “Maandalizi yote ya kucheza na timu nzuri ya Coastal Union kesho yamekamilika” maneno ya Kocha Msaidizi wa Simba SC, Juma Mgunda akiungana na kocha wa Coastal Union Fikiri Elias kuzungumzia mchezo wao wa kesho wa NBC Premier League. #NBCPL #LigiKuuTanzania #LigiKuu…



“Sisi mpaka dakika hii hatushuki daraja” Massau Bwire ambaye ni Msemaji wa Ruvu Shooting akiwatoa hofu mashabiki wa timu hiyo huku akibainisha kuwa bado wananafasi ya kusalia ligi kuu msimu ujao. Jumamosi ni Ruvu Shooting Vs Azam FC #LIVE #AzamSports1HD



AZAM FC YAIFUATA RUVU SHOOTING Wasikie Kocha Msaidizi wa Timu ya #AzamFC, Agrey Moris na Nahodha Bruce Kangwa wakizungumzia maandalizi kuelekea Morogoro kwenye mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Ruvu Shooting. Mechi ni Jumamosi majira ya saa 10:00 Jioni #AzamSports1HD



CAFCL: Kikosi cha Simba SC kimeshawasili katika dimba la Mohammed wa Tano (V) tayari kukipiga dhidi ya Raja Casablanca kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Mechi itapigwa saa 7:00 usiku kwa saa za hapa Tanzania na itakuwa LIVE #ZBC2 kwa nchini pekee. #CAFCL



Muonekano wa dimba la Mohammed wa Tano (V) wakati huu ukiwa umesalia muda mchache kabla ya Raja Casablanca kukipiga dhidi ya Simba SC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) 
Mechi itapigwa saa 7:00 usiku kwa saa za hapa Tanzania na itakuwa LIVE #ZBC2 kwa nchini pekee.

Muonekano wa dimba la Mohammed wa Tano (V) wakati huu ukiwa umesalia muda mchache kabla ya Raja Casablanca kukipiga dhidi ya Simba SC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Mechi itapigwa saa 7:00 usiku kwa saa za hapa Tanzania na itakuwa LIVE #ZBC2 kwa nchini pekee.



Shamrashamra za Mshabiki wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) ndani ya Uwanja wa Suez Canal muda huu zikiwa zimesalia dakika chache tu mchezo wa Uganda na Tanzania uanze. Burudani hii itakuwa #mbashara #ZBC2 #KufuzuAFCON2023 #AFCONQ2023 #UgandaTanzania



NANI KUCHUKUA UBINGWA WA NBC PL? Wasikie Mashabiki na Wapenzi wa Kandanda nchini wakitoa maoni yao juu ya nani kuibuka na Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu wa 2022/2023. #NBCPL inaendelea leo ni Geita Gold Vs Ruvu Shooting #LIVE #AzamSports1HD




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports