Azam FC   

Azam FC's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“⚽ The Official Account of Azam Football Club πŸ† 2013-14 Tanzania Premier League Champions. πŸ“… Founded in July 23, 2004. πŸ“± #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora”

 Report User

Highlights

20' Ruvu Shooting 0-0 Azam FC

20' Ruvu Shooting 0-0 Azam FC



πŸ”΅ L E G E N D A R Y πŸ”΅

Mara ya mwisho kukutana na Ihefu Machi 11, 2021, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Agrey Moris, alikuwa kama nahodha, tukishinda  3-0.

Safari hii Agrey, anaingia kwenye mchezo huo, akiwa sehemu ya benchi la ufundi la timu yetu akiwa Kaimu Kocha Msaidizi.

πŸ”΅ L E G E N D A R Y πŸ”΅ Mara ya mwisho kukutana na Ihefu Machi 11, 2021, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Agrey Moris, alikuwa kama nahodha, tukishinda 3-0. Safari hii Agrey, anaingia kwenye mchezo huo, akiwa sehemu ya benchi la ufundi la timu yetu akiwa Kaimu Kocha Msaidizi.



#NextMatch Burudani nyingine tena ya Pira Irizar, itakuwa ndani ya Azam Complex kesho Jumatatu saa 1.00 usiku, Azam FC tukiivaa Ihefu kwenye mwendelezo wa mechi za ligi.

Tukutane kwa wingi Azam Complex, tukaendeleze pale tulipoishia.

#weareazamfc #timuborabidhaabora

#NextMatch Burudani nyingine tena ya Pira Irizar, itakuwa ndani ya Azam Complex kesho Jumatatu saa 1.00 usiku, Azam FC tukiivaa Ihefu kwenye mwendelezo wa mechi za ligi. Tukutane kwa wingi Azam Complex, tukaendeleze pale tulipoishia. #weareazamfc #timuborabidhaabora



#WorkUnderway Vijana wakiwekwa sawa kwa ajili ya shoo ya keshokutwa Jumatatu dhidi ya Ihefu. Tukutane Azam Complex kwa wingi tukaendeleze pale tulipoishia. @Yusufbakhresa @AbdukarimAmin #weareazamfc #timuborabidhaabora



#TRAINING Timu ya ushindi mazoezini leo Jumamosi, tukijiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Ihefu. 

Mchezo huo wa ligi, utafanyika Uwanja wa Azam Complex Jumatatu hii saa 1.00 usiku.

@Yusufbakhresa @AbdukarimAmin 

#weareazamfc #timuborabidhaabora

#TRAINING Timu ya ushindi mazoezini leo Jumamosi, tukijiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Ihefu. Mchezo huo wa ligi, utafanyika Uwanja wa Azam Complex Jumatatu hii saa 1.00 usiku. @Yusufbakhresa @AbdukarimAmin #weareazamfc #timuborabidhaabora



#AllTheBestTaifaStars Kila la kheri timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', katika mchezo muhimu wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Algeria, utakaofanyika Uwanja wa Mkapa leo saa 1.00 usiku. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ





User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports