#TRAINING Timu ya ushindi mazoezini leo Jumamosi, tukijiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Ihefu. .. for Azam - Ihefu game - Post Details

#TRAINING Timu ya ushindi mazoezini leo Jumamosi, tukijiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Ihefu. 

 by @Azam FC - eDayFm

#TRAINING Timu ya ushindi mazoezini leo Jumamosi, tukijiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Ihefu. Mchezo huo wa ligi, utafanyika Uwanja wa Azam Complex Jumatatu hii saa 1.00 usiku. @Yusufbakhresa @AbdukarimAmin #weareazamfc #timuborabidhaabora

Similar Posts!