#WorkUnderway Vijana wakiwekwa sawa kwa ajili ya shoo ya keshokutwa Jumatatu dhidi ya Ihefu. Tukutane Azam Complex kwa wingi tukaendeleze pale tulipoishia. @Yusufbakhresa @AbdukarimAmin #weareazamfc #timuborabidhaabora
Goli pekee la Prince Dube dakika ya 55 limeipa Azam FC ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa ...