Yanga imeichakaza Stand United kutoka Championship mabao 8-1, manne yakitoka kwa Stephane Aziz Ki.... ukiwa ni mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Clatous Chama aliyefunga mawili, Nickson Kibabae goli la pili na Kennedy Musonda goli la nane..... Goli la kufutia machozi kwa Stand United limefungwa na Msenda Senda dakika ya 49. Haya hapa magoli yote tisa...
Usisahau ku"SUBSCRIBE" YouTube channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
ALICHOJIBU MWAKINYO BAADA ya KUULIZWA KWANINI AMELIA HADHARANI, AMTAJA RAIS SAMIA.. Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuutetea mkanda wake wa 'WBo' usiku wa kuamkia leo katika pambano la 'The Night of Title Defence' kwa kumpiga 'Ko' raundi ya tisa mpinzani wake kutoka Ghana, Daniel Lartey.
KUFUZU AFCON WANAWAKE: Timu ya Taifa ya Wanawake, #TwigaStars imeitupa nje Ivory Coast kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kupindua matokeo ya 2-0 na kufanya matokeo ya jumla kuwa 2-2. Ni katika mchezo wa marudiano kuwania tiketi ya kufuzu AFCON kwa Wanawake #WAFCON uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Kwenye mchezo huo, Twiga Stars imepata mabao yake kupitia kwa Donisia Minja dakika ya 50 na Opah Clement dakika ya 52 kabla ya kenda kwenye matuta.... Haya hapa magoli mawili na mikwaju yote tisa ya penati.
Goli la matumaini kwa Dodoma Jiji kama lilivyotiwa nyavuni na Collins Opare; Hili ni goli la tisa kwake kwenye ligi kuu msimu ...
Kariobangi Sharks ilipoteza fursa ya kuchupa hadi nafasi ya tisa kwenye msururu wa ligi kuu baada ya kufungana mabao 2-2 na ...