Content removal request!


ALICHOJIBU MWAKINYO BAADA ya KUULIZWA KWANINI AMELIA HADHARANI, AMTAJA RAIS SAMIA..

ALICHOJIBU MWAKINYO BAADA ya KUULIZWA KWANINI AMELIA HADHARANI, AMTAJA RAIS SAMIA.. Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuutetea mkanda wake wa 'WBo' usiku wa kuamkia leo katika pambano la 'The Night of Title Defence' kwa kumpiga 'Ko' raundi ya tisa mpinzani wake kutoka Ghana, Daniel Lartey.