Matangazaji wa mpira miguu nchini Tanzania Baraka Mpenja amefanya Mahojiano na Mpenja Tv na kuzungumzia kuhusu usajili uliofanywa na timu za Tanzania,huku akifanya majaribio namna atakavyoitangaza Derby ya Kariakoo
#KochaMpyaSimba #FadloDavids #FalsafaYake Falsafa ndio Roho ya Timu, Roho ya Kocha na ndio tumaini LA Mashabiki kwa Timu yao. Je kocha mpya wa Simba FADLU DAVIDS ni MUUMINI wa Falsafa Gani; Jibuhili hapa... ------------------------------------------------------------------------------------------------------ TUMEDHAMINIWA NA PELEGRINO SANITARIUM CLINIC Hawa ni mabingwa wa kutibu Magonjwa Sugu kama; Kisukari, Kansa, Ukimwi, Presha, Tezi Dume na magonjwa yote Yanayokusumbua.. Kwa mawasiliano zaidi piga simu Namba... 0747 805 550. ------------------------------------------------------------------------------------------------------ JE UNAZIFAHAMU VIDEO ZANGU BORA ZAIDI? TAZAMA HIZI HAPA.. 1. Yanga Baada ya Usajili: Kikosi chake cha Kwanza Hatari zaidi. https://youtu.be/jh-ozvp2GFo 2. Baada ya Usajili: Huu ndio Usajili Bora zaidi kwa Simba. https://youtu.be/RFPP8eEVgzM 3. Kabla ya Pre - Season: Simba wanatakiwa Kufanya Jambo hili Muhimu. https://youtu.be/OdcTjrGWTMA 4. UKWELI: KUHUSU KIWANGO HALISI CHA STEVEN MUKWALA | MSHAMBULIAJI MPYA SIMBA. https://youtu.be/CDHlA46PoVw 5. USAJILI WA CHAMA YANGA: UNA 'MAANA KUU 7' | TAZAMA KWA UMAKINI VIDEO HII. https://youtu.be/auuanbYqRIY 6. KIUFUNDI: MAENEO 8 YA USAJILI SIMBA | MO AMEAMUA... https://youtu.be/W3YQkGiA7Wg ------------------------------------------------------------------------------------------------------ JE UNGEPENDA KUTANGAZA BIASHARA YAKO SOCCERDATA KWA BEI NAFUU? KUWA SEHEMU YA WADHAMINI WETU TUKUTANGAZIE BIASHARA YAKO NA IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI. (MAWASILIANO) 0710 679 388 0627 532 401 Email: soccerdata01@gmail.com ------------------------------------------------------------------------------------------------------ KAMA MDAU, TUNAKUOMBA UCHANGIE UNUNUZI WA VIFAA VYA UZALISHAJI. Saidia Ununuzi wa Vifaa vya Uzalishaji vitakavyorahisisha Kazi na kuongeza Ubora wa Uchambuzi. SoccerData inahitaji Vifaa VITATU vya kuanzia Vinavyogharimu Shilingi 4.7 M ambavyo Ni; 1. Video Camera 2. Computer 3. Condenser Microphone. Changia Kiasi chochote Ulichonacho kupitia; TIGOPESA: 0710 679 388 HALOPESA: 0627 532 401 (Jina : Sekwao Mwendi) BANK ACCOUNT. CRDB BANK. SEKWAO MOHAMEDI MWENDI 0152235925700 Lakini pia kwa Mawasiliano zaidi, Wapigie SoccerData kwa Namba hizo. ------------------------------------------------------------------------------------------------------ KARIBU KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII; FACEBOOK: https://www.facebook.com/SoccerData INSTAGRAM: https://www.instagram.com/soccerdata_tz/ JE UNGEPENDA KUWA SEHEMU HALISI YA SOCCERDATA? JISAJILI KAMA MEMBERSHIP LEO UPATE ZIADA YA UCHAMBUZI... https://www.youtube.com/channel/UCqgiGP0blRHlehLkLbkKuYQ/join SOCCERDATA KARIBUNI SANA...
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentus Magori na Meneja wa Habari wa timu hiyo Ahmed Ally wamezungumzia mchakato wa usajili ndani ya klabu hiyo na kutoa tafsiri ya ubwaya ubwela.
Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku alitolewa Uwanja wa Ndege kininja. Aziz KI, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumziko nchini kwao kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3. Alichofanya Azizi Ki, kwanza akamtanguliza mfanyakazi mmoja wa Uwanja wa Ndege kutangulia mbele na mabegi yake makubwa sita aliyotua nayo. Hatua ya pili ikawa Ofisa mmoja wa Yanga Godlisten Anderson 'Chicharito' aliyekuja kumpokea uwanjani hapo kumpenyezea kofia maarufu kwa jina la kepu, ambayo kiungo huyo ilipomfikia akatoka akiwa ameishusha kijanja mithili ya mtu asiyetaka kujulikana. Hatua ya tatu akatoka akiwa peke yake huku Ofisa huyo wa Yanga akitangulia mbele wakiachana kwa hatua sita na kiungo huyo kisha kupanda kwenye gari moja aina ya Toyota Alphard iliyotoka uwanjani hapo kwa kasi. Hatua ya nne mara baada ya kufika nje ya uwanja wa Ndege kiungo huyo akakuta gari nyingine aina ya Toyota Harrier ikimsubiri kisha kupanda humo huku ile Alphard ikiondoka na mabegi yake pekee. Ujio wa Azizi Ki ambaye ndiye mfungaji Bora wa Ligi msimu uliopita akimaliza na mabao 21 utawashusha presha mashabiki wa Yanga ambao wanadhani anaweza kuondoka. Yanga bado haijatangaza kwamba Azizi Ki ameongeza mkataba lakini Mwananchi linafahamu kwamba kiungo huyo raia wa Burkina Faso bado ataendelea kuitumikia timu hiyo kufuatia kukubaliana na mabosi wa timu hiyo kwamba atasalia. Pia, kupitia mitandao ya kijamii ya Yanga imetangaza kuwa staa huyo atazungumza mchana wa leo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2024/25, huku Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ahmed Ally amezungumza na wanahabari kuhusu sintofahamu ya usajili wa beki Lameck Lawi. Ahmed amesema sakata hilo litamalizwa na mabaraza ya kisheria ya soka lakini wao wanatambua kuwa ni mchezaji wao halali kwani pesa za usajili walitoa kwa mchezaji huyo pamoja na timu yake. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
SUBSCRIBE NOW: ๐ Site: https://simbasc.co.tz/ ๐ฑ App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 ๐ฑ Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en ๐ต Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ ๐ธ Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania ๐ Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania ๐ถ Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference ๐ต๐ดโช #NguvuMoja #Wenyenchi
Mashabiki wa Yanga Sc Leo July 1,2024 wamefanya hamasa ya kuzunguka na kuimba mara baada ya siku ya Leo Timu hiyo kumtambulisha aliekuwa mchezaji wa Simba Sc clatous chota chama.