#CAFCL βWarabu watakwenda kuitapika Benjamin Mkapaβ maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akiuzungumzia mchezo wao wa Januari 18, 2025 ndani ya dimba la Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger. Ni mchezo wa mwisho kwa timu zote mbili katika hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika (CAFCL) huku akiwaita mashabiki kubeba vichinjio vyao. Yanga jana Jumapili ilishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan na kufikisha alama saba huku MC Alger ikiwa na alama nane. Mdchi hiyo utaishuhudia LIVE #AzamSports1HD #AzamSports1HD #YangaSafarini #YangaMauritania #AlHilal #YangaSC #AlHilalYanga #CAFCL #CAFChampionsLeague
Timu ya Yanga Veteran imefanikiwa kuwa mabingwa wa Ngao ya Jamii ya Ligi ya Maveterani Tanzania #TanzaniaVeteranLeague (TVL) baada ya kuichapa Simba Veteran kwa penati 4-2, kufuatia suluhu ndani ya dakika 90. Mechi imepigwa kwenye Dimba la KMC, Mwange Dar es Salaam...
πͺππππππππ Β©2024 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Halima James Mdee na Ester Bulaya ambao ni wabunge wa viti maalum wameonyesha furaha yao baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mdee ameeleza kufurahishwa na kiwango bora cha wachezaji wa Yanga, akisisitiza umuhimu wa kuwapa moyo na kuwaunga mkono wakati huu mgumu, kwani itawasaidia kujituma zaidi kwenye mechi zijazo. Kwa upande wake, Bulaya ametamba kuwa Yanga ni timu yenye uwezo wa kupindua meza, akibainisha kuwa walikuwa na nafasi ya kufunga hata mabao matano katika mchezo huo uliochezwa leo Januari 4, 2025. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Yanga imekuwa timu ya kwanza kushinda 5-0 kwenye ligi kuu msimu huu, wakiwachakaza Fountain Gate FC kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Pacome Zouzoua aliyefunga mawili, Mudathir Yahya, Jackson Shiga aliyejifunga na Clement Mzize dakika ya 88. haya hapa magoli yote...
SUBSCRIBE NOW: π Site: https://simbasc.co.tz/ π± App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 π± Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en π΅ Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ πΈ Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania π Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania πΆ Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference π΅π΄βͺ #NguvuMoja #Wenyenchi
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA