#EXCLUSIVE: BILIONEA MSUVA ANARUDI YANGA, AFUNGUKA MSOTO ALIOPITIA HADI KUSHINDA KESI, AMTAJA HERSI! GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchezaji Simon Msuva ambaye ameshinda kesi dhidi ta klabu yake ya zamani ya Wydad Casablanca ambapo FIFA wameiamuru klabu hiyo kumlipa Msuva zaidi ya shilingi bilioni moja.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
#BREAKING: YANGA YATOZWA FAINI SHILINGI MILIONI 3, SIMBA NAO WATOZWA MILIONI 1, SABABU ZATAJWA... KLABU ya YANGA imetozwa fauni ya jumla ya shilingi milioni tatu kwa makosa mawili tofauti ikiwemo kuingia mlango usio rasmi mecha yao dcidi ya Azam FC huku mashabiki wake kumrushia chupa mwamuzi msaidizi katika mechi hiyo iliyochezwa uwanja wa Azam Complex. Kwa upande wa Simba wao wametozwa faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la Mashabiki kurusha chupa uwanjani baada ya mchezaji wao Meddie Kadere kushinda bao. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Klabu ya soka ya Geita Gold iliopo mkoani iumesaini mkataba wenye thamani ya shilingi Milioni Miatano ( 500) na Mgodi wa uchimbaji madini ya dhahabu wa GGML kwa msimu wa 2021/2022. Kaimu mtendaji Mkuu wa Mgodi wa GGML Wayne Low amesema wameingia mkataba huo kutokana na uhusiano mzuri na klabu hiyo lakini pia kuongeza ufanisi katika uwekezaji wa soka mkoani Geita. Kwa upande wa Makamu mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Geita Gold ambae pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Geita Constantine Molland amesema udhamini huo utaongeza chachu ya ushindani na ufanisi wa uendeshaji wa klabu hiyo. GEITA GOLD FC WALAMBA MILIONI 500, MCHONGO MZIMA UPO HIVI... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi, amewamwagia minoti Golikipa wa Biashara United, James Ssetuba na wachezaji wenzake baada ya kutoka Suluhu (0-0) na Simba SC katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa Septemba 28, 2021 Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Musoma, Mara. RC Ally Hapi pia ameahidi kuwapatia Shilingi milioni 10 wachezaji wa Biashara United ambazo watachukua leo Septemba 29, 2021.
KAIZER CHIEF Wampa BOCCO MILLION 2.5, MCHEZAJI BORA WA MECHI... UNAAMBIWA Pamoja na timu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kuwaondoa Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kampuni ya Emirates Aluminum, ambapo ni wadhamini wa tuzo mbalimba za Simba , leo wamemchagua Nahodha wake, John Bocco, kama mchezaji bora wa mechi hiyo iliyopigwa, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaaam, na kumpatia zawadi ya kitita cha Shilingi Milioni 2,500,000,. Fedha hizo zimekabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Emirates Aluminum, Issa Maeda Mkao Makuu ya ofisi hizo zilizopo Sinza Madukani Dar, ikiwa ni sehemu ya udhamini wao, ambapo mbali na hivyo pia wamekuwa wakitoa zawadi na tuzo mbalimbali kwa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Bara kwa timu ya Simba. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati yao na AS Vita utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii jijini Dar es Salaam Kuelekea mechi hiyo, Manara ametaja viingilio kuwa vitakuwa ni shilingi 3000 kwa mzunguko na Orange, VIP B 10,000 na VIP A 20,000 huku Platnums itakuwa ni 100,000. Tiketi ya Platnums itampa usafiri shabiki kwenda Uwanjani akitokea Serena Hotel mpaka Uwanjani na atakaa sehemu ambayo itaambatana na vinywaji huku akipewa na jezi. Simba inaedna kucheza na Vita ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kufungwa maba0 2-0 na JS Saoura katika mchezo wa mwisho uliopigwa huko Bechar, Algeria. Mbali na viingilo, Manara amewataka mashabiki Simba kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo kwani lengo lao kubwa ni kuhakikisha wanashinda na si kingine. Manara ameeleza uwepo wa mashabiki na haswa wakifika 60,000 itakuwa jambo jema katika kuleta hamasa kwa wachezaji siku hiyo. Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na wadau wa mpira hapa nchini, itapigwa majira ya saa 1 za usiku katika Uwanja wa Taifa. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Manara Azindua "DO or DIE" Dhidi Ya AS VITA Jumamosi Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000 Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266. VIP A waliingia Watazamaji 546 kwa kiingilio cha Shilingi 30,000 na kupatikana jumla ya shilingi 16,380,000,VIP B na C waliingia Watazamaji 3,185 kwa kiingilio cha shilingi 20,000 ikapatikana jumla ya shilingi 63,700,000,Majukwaa ya rangi ya Machungwa,Bluu na Kijani waliingia Watazamaji 37,535 kwa kiingilio ncha shilingi 7,000 imepatikana jumla ya shilingi 262,745,000
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MKURUGENZI wa utawala na udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbasi, amezitaka klabu za Simba na Yanga kuacha masihara na badala yake kuhakikisha wanachukua ubingwa wa #SportPesa Super Cup. Kauli hiyo ameitoa leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho jijini Dar inahusisha jumla ya timu nane nne za nchini Tanzania ambazo ni Simba, Yanga,Mbao na Singida United na za kutoka Kenya ni Gor Mahia ambaye ni bingwa mtetezi, AFC Leopard, Bandari na KK Sharks. "Haiwezekani tena safari hii ubingwa wa michuano hii uende Kenya kama ilivyofanyika miaka miwili iliyopita, hivyo ni lazima timu za nchini kupambana kuhakikisha wanaubakisha ubingwa hapa nchini. " Tayari nimekutana na viongozi wa Simba, Yanga, Mbao FC na Singida Utd nikiwasisitizia ubingwa ubaki nyumbani. "Nimewaambia waache mzaha kabisa kwa kutumia wachezaji wa vikosi vya pili na badala yake kuwatumia wale wa kikosi cha kwanza. "Mara kadhaa tumeziona Simba na Yanga wakitumia wachezaji wa kikosi cha pili, hivyo mwaka huu hatutaki kitu hicho kitokee kikubwa tunataka ubingwa," alisema Tarimba. Bingwa wa michuano hii anatarajiwa kujichotea dola elfu 30 (Shilingi milioni 70). Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars