Content removal request!


GEITA GOLD FC WALAMBA MILIONI 500, MCHONGO MZIMA UPO HIVI...

Klabu ya soka ya Geita Gold iliopo mkoani iumesaini mkataba wenye thamani ya shilingi Milioni Miatano ( 500) na Mgodi wa uchimbaji madini ya dhahabu wa GGML kwa msimu wa 2021/2022. Kaimu mtendaji Mkuu wa Mgodi wa GGML Wayne Low amesema wameingia mkataba huo kutokana na uhusiano mzuri na klabu hiyo lakini pia kuongeza ufanisi katika uwekezaji wa soka mkoani Geita. Kwa upande wa Makamu mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Geita Gold ambae pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Geita Constantine Molland amesema udhamini huo utaongeza chachu ya ushindani na ufanisi wa uendeshaji wa klabu hiyo. GEITA GOLD FC WALAMBA MILIONI 500, MCHONGO MZIMA UPO HIVI... WATCH WASAFI TVπŸ“Ί AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM πŸ“» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI πŸ“» | 104.1 DODOMA πŸ“» | 94.5 ARUSHA πŸ“» | 97.3 MBEYA πŸ“» | 94.9 MWANZA πŸ“» | SHINYANGA 106.3 πŸ“» | KIGOMA 101.7 πŸ“» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2021 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm