Content removal request!


KAIZER CHIEF Wampa BOCCO MILLION 2.5, MCHEZAJI BORA WA MECHI...

KAIZER CHIEF Wampa BOCCO MILLION 2.5, MCHEZAJI BORA WA MECHI... UNAAMBIWA Pamoja na timu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kuwaondoa Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kampuni ya Emirates Aluminum, ambapo ni wadhamini wa tuzo mbalimba za Simba , leo wamemchagua Nahodha wake, John Bocco, kama mchezaji bora wa mechi hiyo iliyopigwa, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaaam, na kumpatia zawadi ya kitita cha Shilingi Milioni 2,500,000,. Fedha hizo zimekabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Emirates Aluminum, Issa Maeda Mkao Makuu ya ofisi hizo zilizopo Sinza Madukani Dar, ikiwa ni sehemu ya udhamini wao, ambapo mbali na hivyo pia wamekuwa wakitoa zawadi na tuzo mbalimbali kwa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Bara kwa timu ya Simba. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline