Ni mchezo wa ufunguzi ulioshuhudia Simba ikitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Kibu Denis dakika ya 53, na Sadio Kanoute dakika ya 59 huku magoli ya Al Ahly yakifungwa na Reda Slim (45'+1) na Mahamoud Karahba dakika ya 63.
JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?utm_source=Youtube_pmtv&utm_medium=Video&utm_campaign=registrations NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA IST NA NISSAN DUALIS TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU INSTAGRAM @pmtvtz TWITTER @Pmtvtz TIKTOK @Pmtvtz
Simba SC imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Power Dynamos na kufuzu hatua ya makundi barani Afrika kwa faida ya goli la ugenini. Hii ni kufuatia sar ya mabao 2-2 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Zambia na kufanya matokeo ya jumla yawe sare ya mabao 3-3. Katika mchezo wa leo, magoli yote yamefungwa na wachezaji wa Power Dynamos wakianza dakika ya 16 kupitia kwa Andy Boyeli na kisha kujifunga dakika ya 68 kupitia kwa Kondwani Chiboni.
SAMOT SARING REAKSYON ANG NATANGGAP NI KYT JIMENEZ SA PBA DRAFT. KYT JIMENEZ GINULAT ANG BUONG HATERS AT ANG KANYANG MGA FANS! KINUHA NGA NG SAN MIGUEL BEERMEN SI KYT JIMENEZ SA ROUND 9 NG PBA DRAFT. AT BAGO YUN HABANG HINDI PA SIYA NATATAWAG AT AKALA NG MARAMI NA WALANG KUKUHA KAY KYT JIMENEZ NAGLABASAN ANG LAHAT NG MGA HATERS NI KYT SA SOCIAL MEDIA LALO NA SA MGA COMMENTS. Please follow our FB page: https://www.facebook.com/BigTimePlays Join our FB group: https://www.facebook.com/groups/276777698099449 #bigtimeplays #BTPnewsandupdates DISCLAIMER: All Video Clips and Images are the Property of the Owner/s. No Copyright Infringement Intended This video is Edited Under Fair use Law. Credit to the Owner of this Video.
#tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumo Nukuu
JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII ...
Ni sare ya 2-2 Simba wanapata kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia dhidi ya Power Dynamos, mchezo wa kwanza hatua ya pili ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, #CAFChampionsLeague Magoli yote mawili ya Simba yametoka kwa Clatous Chama dakika ya 59 na 90 huku Power Dynamos wakipata magoli yao kupitia kwa Ayoub Lakred aliyejifunga dakika ya 28 na Mulombwa dakika ya 74. Haya hapa magoli yote manne...