Content removal request!


Simba SC 1-1 Power Dynamos FC | Highlights | CAF CL 01/10/2023

Simba SC imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Power Dynamos na kufuzu hatua ya makundi barani Afrika kwa faida ya goli la ugenini. Hii ni kufuatia sar ya mabao 2-2 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Zambia na kufanya matokeo ya jumla yawe sare ya mabao 3-3. Katika mchezo wa leo, magoli yote yamefungwa na wachezaji wa Power Dynamos wakianza dakika ya 16 kupitia kwa Andy Boyeli na kisha kujifunga dakika ya 68 kupitia kwa Kondwani Chiboni.