Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ulipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Simba imetangulia kwa goli la Jean Baleke dakika ya 13 lakini Ihefu wakachomoa dakika ya 25 kupitia kwa Ismail Mgunda na 'super sub, Moses Phiri akatia kitu cha pili dakika ya 65. Tazama highlights.....
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #arsenewenger #arsenal #simbasc
Yanga SC imekutana na kichapo cha 2-1 kwa mara nyingine tena kutoka kwa Ihefu SC kwenye Uwanja wa Highland Estates mkoani Mbeya, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga wametangulia dakika ya 4 kupitia kwa Pacome Zouzoua kabla ya Ihefu kuchomoa dakika ya 40 kupitia kwa Lenny Kissu na Charles Ilanfya kufunga la pili dakika ya 67.
Yanga SC imekutana na kichapo cha 2-1 kwa mara nyingine tena kutoka kwa Ihefu SC kwenye Uwanja wa Highland Estates mkoani Mbeya, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga wametangulia dakika ya 4 kupitia kwa Pacome Zouzoua kabla ya Ihefu kuchomoa dakika ya 40 kupitia kwa Lenny Kissu na Charles Ilanfya kufunga la pili dakika ya 67.
Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Ni sare ya 2-2 Simba wanapata kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia dhidi ya Power Dynamos, mchezo wa kwanza hatua ya pili ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, #CAFChampionsLeague Magoli yote mawili ya Simba yametoka kwa Clatous Chama dakika ya 59 na 90 huku Power Dynamos wakipata magoli yao kupitia kwa Ayoub Lakred aliyejifunga dakika ya 28 na Mulombwa dakika ya 74. Haya hapa magoli yote manne...
YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano. Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanza….. Haya hapa magoli yote sita…
Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida Big Stars. Simba imetinga fainali kwa penati 4-2 na mkwaju wa ushindi umepigwa na Moses Phiri huku golikipa wa Simba Ally Salim akiokoa penati moja.