Content removal request!


Penati zote | Simba SC 4-2 Singida BS | Ngao ya Jamii 2023

Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida Big Stars. Simba imetinga fainali kwa penati 4-2 na mkwaju wa ushindi umepigwa na Moses Phiri huku golikipa wa Simba Ally Salim akiokoa penati moja.