Magoli na kadi nyekundu | Fountain Gate 1-1 Simba SC | NBC Premier League 06/02/2025
Magoli na kadi nyekundu | Fountain Gate 1-1 Simba SC | NBC Premier League 06/02/2025

Simba SC imekabwa koo na kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Fountain Gate katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Tanzanite, Kwaraa, Babati Manyara... Simba wametangulia kupata bao kupitia kwa Lionel Ateba dakika ay 57 lakini kiungoLadack Chasambi akajifunga na kuisawazishia Fountain Gate dakika ya 75. Katika mchezo huu pia, Fountain Gate ilipata pigo kwa golikipa wake John Noble kutolewa kwa kadi nyekundu, ikiwa ni njano ya pili....



Magoli | Burkina Faso 1-2 Zanzibar Heroes | Fainali Mapinduzi Cup 13/01/2025
Magoli | Burkina Faso 1-2 Zanzibar Heroes | Fainali Mapinduzi Cup 13/01/2025

Timu ya taifa ya Zanzibar… #ZanzibarHeroes imeibuka na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 kwa kuichapa Burkina Faso mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye Dimba Gombani, Pemba. Zanzibar walitangulia kupata bao dakika ya 41 kwa kisigino cha Ibrahim Hamad Hilika, kisha Burkina Faso wakachomo dakika ya 69 kupitia kwa Aboubacar Traore…. Lakini dakika za majeruhi, Hassan Ali Cheda akafunga la pili na la ushindi kwa Zanzibar.



Magoli | Tabora United 2-1 Azam FC | NBC Premier League 13/12/2024
Magoli | Tabora United 2-1 Azam FC | NBC Premier League 13/12/2024

Azam FC imekula mweleka ikipokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tabora United mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Heritier Makambo amefunga goli la kwanza kwa tabora United na kusababisha goli la pili ambalo golikipa Mohamed Mustafa amejifunga...... Goli pekee la Azam FC limefungwa na beki Yoro Diaby.



🟡DAH!ALI KAMWE ADONDOSHA MACHOZI BAADA YA KIPIGO CHA LEO/TAASISI IPO KWENYE KIPINDI KIGUMU/MM NAUMIA
🟡DAH!ALI KAMWE ADONDOSHA MACHOZI BAADA YA KIPIGO CHA LEO/TAASISI IPO KWENYE KIPINDI KIGUMU/MM NAUMIA

Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wa pili wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuchapwa bao 2-0 dhidi ya MC Alger katika mchezo uliomalizika nchini Algeria hii leo...#alikamwe #hajimanara #manara #yangasc #manaratv #dube #yangasc #alikamwe #manara #hersi #alikamwe #gamondi #pacome #dube #yangasc #subscribe #jahctivetv #azamtv #simbasc #azamfc #manara #alikamwe #ahmedally #michezo #ligikuu #tff #burudani #nbc #soka Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Goals Ever  #Lionel Messi  #Cleveland Cavaliers  #Kyrie Irving  #Best Goals  #Boston Celtics  #Goal Celebrations  #Stephen Curry  #Manuel Neuer  #Stephen Curry  

Popular Users

#themichaelowen  #AdamSchefter  #THNRyanKennedy  #obj  #LAKings  #TimTebow  #darrenrovell  #TheEllenShow  #JLo  #JayBilas  #dougferguson405  #RobbieSavage8  #geniebouchard  #rihanna  #UKCoachCalipari