🛑#LIVE: WAJUE GABORONE UNITED WAPINZANI WA YANGA CAF,HAPA YANGA WAJIPANGE VIZURI
🛑#LIVE: WAJUE GABORONE UNITED WAPINZANI WA YANGA CAF,HAPA YANGA WAJIPANGE VIZURI

#Yangasc #GaboroneUnited #CAF Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya droo ya hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu wa 2026/27, ambapo wawakilishi wa Tanzania wamepata wapinzani wao. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC itakutana na Mighty Wanderers ya Malawi katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6, 2026 na kumalizia nyumbani kati ya Septemba 11-13. Yanga SC nayo imepangwa kucheza dhidi ya Gaborone United ya Botswana, huku ikianza ugenini na kumalizia nyumbani katika tarehe hizo. Endapo Yanga SC itafuzu hatua hiyo, itakutana na mshindi kati ya CFFA ya Madagascar na Lijabatho FC ya Lesotho katika raundi ya pili ya awali kuwania nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa upande wa Simba SC, itahitaji kuvuka kikwazo cha Mighty Wanderers ili kuendelea na safari ya kusaka nafasi ya kucheza hatua ya makundi. Katika Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC ambayo imeanzia moja kwa moja raundi ya pili ya awali, itakutana na mshindi wa mchezo kati ya ASAS Djibouti Télécom ya Djibouti na ZED FC ya Misri. Nayo Singida Black Stars imepangwa kucheza dhidi ya Al Ghazala SC Wau ya Sudan Kusini katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6 na kurudiana nyumbani Septemba 11-13, 2026.



🛑#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12
🛑#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12

#Yangasc #Tetesizausajili #UsajilimpyaYangasc Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Juma Abushir AKA Messi wa Chuga Miaka 18 attacking midfield kutoka Fountain Gate alihitajika krc Genk ,yanga wametoa Milion 100 kuvunja mkataba na atalipwa mshahara wa Milion 5 Kila mwezi kutoka kulipwa Laki 6 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United deal done 4. Azizi Ki wanasubiri avunje mkataba na Al Ittihad 5.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast 🇨🇮,Samba Koné (23) ✅Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. ❌Kone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria 🇩🇿. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 6. Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 7. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 8. Idd Nado kutoka Azam FC Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja 🟢🟡 HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA SC 🔰 1.🇲🇱 Djigui Diarra 2.🇨🇮 Yao Kouassi 3.🇨🇩 Chadrack Boka 4.🇧🇪 Frank Assink 5.🇬🇳 Balla Conté 6.🇰🇪 Duke Abuya 7.🇨🇩 Maxi Nzengeli 8.🇲🇱 Mohamed Doumbia 9.🇦🇴 Laurindo Depu 10.🇺🇬 Allan Okello 11.🇨🇮 Pacome Zouzoua 12.🇬🇲 Buba Jammeh 13.🇧🇪 Lassine Kouma 14.🇧🇪 Célestin Ecua



YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI MPYA NI BALAA AZIZI KI,GUILLERMO MZUNGU NDANI,YAACHANA NA WACHEZAJI HAWA
YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI MPYA NI BALAA AZIZI KI,GUILLERMO MZUNGU NDANI,YAACHANA NA WACHEZAJI HAWA

#Yangasc #Tetesizausajilimpya #WachezajiwapyaYangasc #alikamwe #hansrafael #Uchambuziwamichezo #mchomemapovu #Enghersisaidi Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Azizi Ki 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United. 4.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast 🇨🇮,Samba Koné (23) ✅Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. ❌Kone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria 🇩🇿. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 5. 🚨Taarifa za usajili zinaeleza kuwa klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 6. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja



Yanga SC 3-1 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 25/05/2026
Yanga SC 3-1 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 25/05/2026

Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili.



Magoli | Okello apiga mawili, Yanga ikiichapa 3-1 Namungo FC | NBC Premier League 25/05/2026
Magoli | Okello apiga mawili, Yanga ikiichapa 3-1 Namungo FC | NBC Premier League 25/05/2026

Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili. Haya hapa magoli...



Simba yaichapa Carabat FC 2-0, Bajaber, Sowah wacheka na nyavu
Simba yaichapa Carabat FC 2-0, Bajaber, Sowah wacheka na nyavu

KUTOKA MISRI: Kikosi cha Simba kilichopo Misri, katika maandalizi ya msimu mpya wa NBC Premier League na mashindano ya kimataifa, kimecheza mchezo wa kwanza wa kirafiki wa kujipima nguvu na timu ya Carabat FC, ambapo Mnyama ameshinda magoli 2-0. Goli la kwanza lilifungwa kipindi cha kwanza na mchezaji Mohammed Bajaber huku goli la pili likifugwa kipindi cha pili na Jonathan Sowah. Wachezaji wote wawili wamesajiliwa msimu huu. #Simba #KambiYaSimba




Next »


Popular Tags

#Lionel Messi  #Best Ball Controls  #Best Champions League  #Boston Celtics  #Paul George  #Lionel Messi  #Michael Jordan  #Best Goalkeeper Saves  #Cleveland Cavaliers  #Counter Attack Goals Football  

Popular Users

#HEELZiggler  #WWE  #normmacdonald  #Harry_Styles  #StephenCurry30  #JJWatt  #rolopez42  #ddlovato  #LarryFitzgerald  #PMOIndia  #criscyborg  #DjokerNole