MABENA TV 's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
#drawyacaf #Wapinzaniwasimbanayangacaf2025 #cafcl #cafcc #tetesizausajilimpya2025 DROO YA MICHUANO YA CAF 2025-2026 TIMU ZA TANZANIA KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAFCL) Gaboron United vs Simba SC Wiliete Benguela vs Yanga SC TIMU ZA TANZANIA KWENYE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAFCC) El Merreikh Bantiu vs Azam FC Rayon Sports vs Singida Black Stars Timu zote zitaanzia kwenye hatua ya awali na michuano inatarajia kuanza mwezi September 19 mechi za mkondo wa kwanza Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi
wachezaji waliosajiliwa Simba msimu uliopita 2024-2025 1. Ahoua Jean Charles 2. Steven Mukwala 3. Joshua Mutale 4. Abdulrazak Hamza 5. Debora Fernandes 6. Augustine Okejepha 7. Valentino Mashaka 8. Omary Abdallah Omary 9. Valentin Nouma 10. Karaboue Chamou 11. Yusuph Kagoma 12. Awesu Ali Awesu 13. Moussa Camara 14. Kelvin Kijili 15. Lionel Ateba Kwa sasa Simba imeachana na wachezaji 10 ikiwemo DEBORA, MUKWALA Zimbwe Jr na wengine 🚨TRANSFER NEWS LIVE: Simba wamefanya mawasiliano na Top Scorer wa Ivory Coast msimu uliopita,Dramane Kamagate (20). Kijana huyo mwenye kasi ya umeme na nguvu ya kupiga mashuti alikuwa na msimu bora akiwa na San Pedro. Dili bado halijakamilika ila Simba wana-push kumpata Dramane Kamagate ASAP! Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi
#hansrafael #ballamussaconte #yangasc #khalidaucho #tetesizausajilimpya2025 mchambuzi wa michezo Kutoka crown fm Hans Rafael Leo 17.7.2025 amethibitisha kuwa Mchezaji balla mussa Conte AMESHASAJILIWA YANGA muda mrefu na nichapwe viboko 5 studio kama balla Conte hatacheza yanga msimu ujao na ndiye mbadala SAHIHI wa Khalid Aucho Leo Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi