AZAM FC WALIA NA REFA GOLI LA MIQUISSONE WADAI LINA UTATA, NYONI ASIFIA SIMBA TULIKUWA MAKINI
AZAM FC WALIA NA REFA GOLI LA MIQUISSONE WADAI LINA UTATA, NYONI ASIFIA SIMBA TULIKUWA MAKINI

Simba SC Leo imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup, goli la Simba SC lilifungwa na Bernard Morisson.



MAMBO 10 YA KITAALAMU ALIO YAONA ALI KAMWE SIMBA IKIPIGA DODOMA 3 -1|CHAMA ANA ASSIT 13
MAMBO 10 YA KITAALAMU ALIO YAONA ALI KAMWE SIMBA IKIPIGA DODOMA 3 -1|CHAMA ANA ASSIT 13

Mambo 10 nilioyaona Simba vs Dodoma 1: WHAT A MATCH. Tactically, Technically makocha na wachezaji wametupa dakika 90 zilizoshiba. Mechi ya nguvu, kasi na maarifa ya kutosha..  2: Kocha wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata aliingia na 4-2-4 akiwa na viungo wawili tu katikati ya kiwanja. Watu wanne wa juu wakiwa bora sana kwenye pressing 🙌 Game Plan ilikuwa sahihi, 'Quality' ikatofautisha ubao wa matokeo. Nafasi ambazo Dodoma walizichezea, Simba walizitumia. 3: Dakika 45 za kwanza, Didier Gomes alibaki na sytem ya 4-2-3- 1 lakini akabadili style of Play kidogo. Chama akaenda pembeni, Bwalya akacheza zone ya 14. Timu ikaonekana nzito kidogo 'kulink' kutoka kati kuingia phase ya 3 ya kiwanja. Nini alifanya? 4: Akamtoa Muzamir Yassin akamuingiza Morrison. Chama akarudi kwenye zone ya 14, Bwalya akarudi kati. Timu ikalainika, nafasi zinakapatina. 5: Again, Simba wamethibitisha tena nilichowahi kukisema. Ni timu hatari pindi inaposhambuliwa. Mpinzani akitawanyika wana watu wazuri wa kutega kwenye maeneo ya wazi. Wakiupata mpira.. hawachezi, wanashambulia.  6: CHAMA 🐐.. Damu ya Zambia. mwili wa Hispania. Akili ya Brazil.. Alichobakisha ni kutoa asali na maziwa kwenye miguu yake..  What A Player 🙌 Anaufanya mchezo wa mpira uonekana mrahisi sana. Yuko Sharp kwenye kujitengenezea nafasi na ni mtulivu kwenye maamuzi yake  7:  Ule mguu wa kushoto wa Larry Bwalya una 'vision' ya ajabu sana🙌 Ana utulivu sana. Anaimeza presha ya Opponent kwa ustadi wa aina yake. Ile pivot yake na Nyoni inawapa uhakika Simba wa kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mchezo 8: Justine Omary🙌 Yule beki wa kati wa Dodoma Jiji.. Ni mpambanaji sana. Ana kimo kizuri, ana nguvu na timing yake ni nzuri sana. Akisukuma kidogo kwenye kutafuta kasi, he is one of the best tunaoweza kuwategemea kwa baadae 9: Miquissone 👍 Katika ubora wake wa kila siku. Dodoma walimpa mechi ngumu akawafunga bao gumu. Ule ndio ubora unaowabeba Simba wanapokuwa katika nyakati ngumu kiwanjani 10: Mkandala 👍 Alipambana sana kumvuruga Muzamir katikati ya kiwanja. Wale mabeki wa pembeni wa Dodoma, George Wawa na Ngalema wamevuja sana jasho. Well done kwao.. Nb: Tar 8 bebeni Tende tu.. Ftari mtaipata KWA MKAPA 😀



SIMBA TV  03/04/2021: Usiyoyajua kuhusu Luis Miquissone na jinsi Simba itakavyomuenzi Magufuli
SIMBA TV 03/04/2021: Usiyoyajua kuhusu Luis Miquissone na jinsi Simba itakavyomuenzi Magufuli

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



TAMBO za MZARAMO wa SIMBA Kuwafunga AS VITA 4-1 KWA MKAPA
TAMBO za MZARAMO wa SIMBA Kuwafunga AS VITA 4-1 KWA MKAPA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA wamepata ushindi wa bao 4-1 dhidi ya AS Vita katika mchezo wao wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo Simba imetinga hatua ya robo fainali ikiwa imefikisha pointi 13 na kuongoza kundi A wakifuatiwa na Al Ahly wenye pointi nane ambao wametoka sare ya bao 2-2 na Al Merreikh. New Content Item (1) Katika kundi hilo, AS Vita na Al Merreikh wameaga mashindano hayo, Vita wamekusanya pointi 4 wakati Al Merreikh wana pointi mbili, timu zote nne zimebakiwa na mechi moja mkononi. Hata hivyo, mechi zilizobaki hata kama Vita na Al Merreikh mmoja wapo akashinda hata kutoka sare hazitaweza kuzifiki Simba na Al Ahly. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



UTACHEKA!! VITUKO VYA MORRISON NA NYONI, WAWA MAZOEZINI
UTACHEKA!! VITUKO VYA MORRISON NA NYONI, WAWA MAZOEZINI

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



SIMBA vs JKT TANZANIA | Ufundi, udambwidambwi, utundu na pasi kama zote  - VPL 01/03/2021
SIMBA vs JKT TANZANIA | Ufundi, udambwidambwi, utundu na pasi kama zote - VPL 01/03/2021

Tazama sehemu ya burudani kutoka kwenye game ya jana kati ya wenyeji Simba SC na JKT Tanzania. Kanzu za Erasto Nyoni, vyenga vya Chama, tobo za Zimbwe na Mzamiru, pasi za Simba, Mechi ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa mabao 3-0. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



MCHEZAJI ALIYEMUUMIZA AISHI MANULA AFUNGUKA MAZITO, TAZAMA ALICHOKISEMA
MCHEZAJI ALIYEMUUMIZA AISHI MANULA AFUNGUKA MAZITO, TAZAMA ALICHOKISEMA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIPA wa Simba, Aishi Manula amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Manula alidondoka chini baada ya kuruka pamoja na mchezaji wa JKT Tanzania, kisha Erasto Nyoni alikimbia haraka kumuona na akawaita madaktari. Hata hivyo baada ya madaktari kumpa huduma ya kwanza Manula alionekana hali yake mbaya wachezaji wenzake wakaonyesha ishara ya kumfanyia mabadiliko. Badae akapakwizwa kwenye gari la wagonjwa na kupelekwa hospitalini. Beno Kakolanya akaingia kuchukua nafasi yake ili kumalizia dakika zilizobakia. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars




« Previous Next »


Popular Tags

#Goalkeeper Saves  #Allen Iverson  #Los Angeles Lakers  #Gareth Bale  #David Silva  #Best Ball Controls  #Derrick Rose  #Amazing Solo Goals  #Franck Ribery  #James Harden  

Popular Users

#DanicaPatrick  #WWE  #Oprah  #ArianFoster  #neymarjr  #ochocinco  #KylieJenner  #YouTube  #oldhossradbourn  #Joey7Barton  #britneyspears  #floydmayweather  #fauxpelini  #RSherman_25