METACHA MNATA AMVULIA KOFIA DJIGUI DIARA WA YANGA/ATOA SIRI SA KUFANYA VIZURI TAIFA STARS
METACHA MNATA AMVULIA KOFIA DJIGUI DIARA WA YANGA/ATOA SIRI SA KUFANYA VIZURI TAIFA STARS

Katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 kati ya Madagascar na Tanzania uliochezwa Jumapili ya Novemba 14, 2021, nafasi ya Golikipa katika kikosi cha Taifa Stars kilichoanza, alikuwa Metacha Mnata ‘Double M’, ambaye alichukua nafasi ya golikipa namba moja Aishi Manula ambaye alidaiwa kuwa na Corona na Mamlaka za nchi ya Madagascar. Metacha alionesha kiwango bora sana na sisi Mpenja TV tumemsaka atueleze nini siri ya kiwango bora namna ile? Metacha pia amemsifu sana Golikipa wa sasa wa Yanga, Djigui Diarra. #MetachaMnata #TaifaStars #DjiguiDiarra #AishiManula #MpenjaTV



UCHAMBUZI: TAIFA STARS vs MADAGASCAR - "SAMATA Alikuwa AMECHOKA, KOCHA Hakufanya SUB NZURI"...
UCHAMBUZI: TAIFA STARS vs MADAGASCAR - "SAMATA Alikuwa AMECHOKA, KOCHA Hakufanya SUB NZURI"...

UCHAMBUZI: TAIFA STARS vs MADAGASCAR - "SAMATA Alikuwa AMECHOKA, KOCHA Hakufanya SUB NZURI"... TIMU ya taifa ya Tanzania leo Septemba 07, imeshuka dimbani kuvaana na timu ya taifa ya Madagascar kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki kombe la dunia... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Tanzania kuibuka na alama 3 kwa kuwafunga wapinzani wao mabao ( 3 -2) yaliyowekwa kimiani na Erasto Nyoni ka mkwaju wa Penalti, bao la pili amefunga Novatus Dismas na la mwisho Feisal Salum. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



HUZUNI ya KOCHA wa MADAGASCAR BAADA YA KUFUNGWA NA TANZANIA...
HUZUNI ya KOCHA wa MADAGASCAR BAADA YA KUFUNGWA NA TANZANIA...

HUZUNI ya KOCHA wa MADAGASCAR BAADA YA KUFUNGWA NA TANZANIA... TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen leo Septemba 7 imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya timu ya taifa ya Madagascar. Ni katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa Uwanja wa Mkapa na hakukuwa na mashabiki kutokana na kuchukua tahadhari dhidi ya Corona. Walioruhusiwa kuingia walikuwa ni Waandishi wa Habari ambao nao ilikuwa ni kwa idadi maalumu pamoja na viongozi na wasimamizi ambao nao pia wote walipaswa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona. Mabao ya Stars kwenye mchezo wa leo uliokuwa na ushindani yalifungwa na Erasto Nyoni dk 2, kwa mkwaju wa penalti, bao la pili lilipachikwa na Novatus Dismas dk ya 26 ilikuwa ni kipindi cha kwanza na yote yalirudishwa kipindi cha kwanza na ubao ulisoma Tanzania 2-2 Madagascar. Kwa Madagascar ni Rakotoharimalala dk ya 36 na Fontaine dk 45 kwa pigo huru akiwa nje ya 18. Kipindi cha pili baada ya mapumziko vijana wa Stars waliweza kujipanga na kusaka ushindi kwa juhudi. Pasi ya upendo kutoka kwa nahodha Mbwana Samatta ilikutana na miguu ya Feisal Salum ambaye alipachika bao la ushindi ilikuwa ni dk ya 52. Ushindi huo unaifanya Stars kuongoza kundi J ikiwa na pointi zake kibindoni 4 sawa na Benin zote zikiwa zimecheza jumla ya mechi mbili. Tofauti ni idadi ya mabao ya kufunga ambapo Tanzania imefunga mabao manne huku Benin ikiwa imefunga mabao matatu. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



KOCHA TANZANIA BAADA ya KUIPIGA MADAGASCAR, "TUNAHITAJI  MECHI Nyingi za KIRAFIKI"...
KOCHA TANZANIA BAADA ya KUIPIGA MADAGASCAR, "TUNAHITAJI MECHI Nyingi za KIRAFIKI"...

KOCHA TANZANIA BAADA ya KUIPIGA MADAGASCAR, "TUNAHITAJI MECHI Nyingi za KIRAFIKI"... TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen leo Septemba 7 imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya timu ya taifa ya Madagascar. Ni katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa Uwanja wa Mkapa na hakukuwa na mashabiki kutokana na kuchukua tahadhari dhidi ya Corona. Walioruhusiwa kuingia walikuwa ni Waandishi wa Habari ambao nao ilikuwa ni kwa idadi maalumu pamoja na viongozi na wasimamizi ambao nao pia wote walipaswa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona. Mabao ya Stars kwenye mchezo wa leo uliokuwa na ushindani yalifungwa na Erasto Nyoni dk 2, kwa mkwaju wa penalti, bao la pili lilipachikwa na Novatus Dismas dk ya 26 ilikuwa ni kipindi cha kwanza na yote yalirudishwa kipindi cha kwanza na ubao ulisoma Tanzania 2-2 Madagascar. Kwa Madagascar ni Rakotoharimalala dk ya 36 na Fontaine dk 45 kwa pigo huru akiwa nje ya 18. Kipindi cha pili baada ya mapumziko vijana wa Stars waliweza kujipanga na kusaka ushindi kwa juhudi. Pasi ya upendo kutoka kwa nahodha Mbwana Samatta ilikutana na miguu ya Feisal Salum ambaye alipachika bao la ushindi ilikuwa ni dk ya 52. Ushindi huo unaifanya Stars kuongoza kundi J ikiwa na pointi zake kibindoni 4 sawa na Benin zote zikiwa zimecheza jumla ya mechi mbili. Tofauti ni idadi ya mabao ya kufunga ambapo Tanzania imefunga mabao manne huku Benin ikiwa imefunga mabao matatu. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



FEI TOTO AFICHUA SIRI YA TAIFA STARS KUWAFUNGA MADAGASCAR, AWAPIGIA SALUTI..
FEI TOTO AFICHUA SIRI YA TAIFA STARS KUWAFUNGA MADAGASCAR, AWAPIGIA SALUTI..

FEI TOTO AFICHUA SIRI YA TAIFA STARS KUWAFUNGA MADAGASCAR, AWAPIGIA SALUTI.. TIMU ya taifa ya Tanzania leo Septemba 07, imeshuka dimbani kuvaana na timu ya taifa ya Madagascar kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki kombe la dunia... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Tanzania kuibuka na alama 3 kwa kuwafunga wapinzani wao mabao ( 3 -2) yaliyowekwa kimiani na Erasto Nyoni ka mkwaju wa Penalti, bao la pili amefunga Novatus Dismas na la mwisho Feisal Salum. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



BRUCE KANGWA
BRUCE KANGWA

ERASTO NYONI AMVULIA JEZI BRUCE KANGWA




« Previous Next »


Popular Tags

#Kyrie Irving  #Football Skills  #Sergio Aguero  #Golden State Warriors  #Zlatan Ibrahimovi  #Anthony Davis  #Shaquille O'Neal  #Best Goals  #Shot Goals  #Lionel Messi  

Popular Users

#taylorswift13  #LilTunechi  #si_vault  #JoelEmbiid  #floydmayweather  #jadande  #BrunoMars  #SportsCenter  #HEELZiggler  #blakegriffin23  #katyperry  #AdamSchefter  #JLo  #realmadrid