SHABIKI NDANDA AWASHAURI YANGA- " mfano wapate kwangu" Baada ya kukamilika kwa mchezo baina ya Simba dhidi ya Ndanda leo disemba 1 Shabiki wa Ndanda aliyejitambulisha kwa jina la Rashidi Issah amewashauri mashabiki wa yanga kuelekea mechi yao Dhidi ya Simba na kusema kuwa mfano wapate kwake wasije kuzimia uwanjani GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list..