Yanga Yatambulisha mshambuliaji Mpya kutoka TP Mazembe
Yanga Yatambulisha mshambuliaji Mpya kutoka TP Mazembe

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Chico Ushindi ni Mwananchi baada ya kutambulishwa rasmi leo kuwa ndani ya kikosi hicho. Kiungo huyo mshambuliaji alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha TP Mazembe. Ametambulishwa rasmi leo Januari 16,2022 ambapo timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Anaungana na wachezaji wengine ambao ni Salim Aboubakhari, Aboutwalib Mshery na Dennis Nkane ambao nao ni maingizo mapya. Chiko amepewa dili la miaka miwili kuitumikia Yanga. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV



NABI, KAZE walivyotimba kuitazama SIMBA vs NAMUNGO kwa MKAPA
NABI, KAZE walivyotimba kuitazama SIMBA vs NAMUNGO kwa MKAPA

Makocha wa Klabu ya Yanga Nasreddine Nabi na masaidizi waka Cedric Kaze wakitazam mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya Namungo ...



Sikia shombo za Wana Yanga baada ya ushindi  "Yanga hii ubingwa tupewe hakuna wakutu funga"
Sikia shombo za Wana Yanga baada ya ushindi "Yanga hii ubingwa tupewe hakuna wakutu funga"

VIGOGO, Yanga SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwalaza wenyeji, wahamiaji KMC mabao 2-0 jioni ya leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma. Nyota wa mchezo wa leo ni kiungo wa kimataifa nchini, Feisal Salum Abdallah aliyefunga mabao yote mawili mapema kipindi cha kwanza na kuifanya timu ya kocha Mtunisia, Nasreddine Nabi anayesaidiwa kazi na Mrundi, Cedric Kaze ifikishe pointi tisa baada ya mechi tatu za awali, mbili ikicheza ugenini. Fei Toto, alifunga bao kwanza dakika ya tano baada ya kufumua shuti kali lililombabatiza mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele kufuatia kudondoshewa mpira na kiungo mwingine, Mkongo Yannick Bangala aliyeuzuia mpira uliookolewa na mchezaji wa KMC. Mzanzibari huyo akafunga bao la pili dakika ya 12 kwa shuti kali pia la umbali wa mita mita 25 baada ya kutengewa pasi na Mayel Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Zahera Afunguka Yanga Sc itakavyowamaliza Wanigeria
Zahera Afunguka Yanga Sc itakavyowamaliza Wanigeria

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KOCHA wa zamani wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemwambia kocha mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, kuwa kama anataka kufuzu hatua inayofuatia ya Ligi ya Mabingwa Afrika, basi ashambulie kwa dakika zote 90. Yanga Jumapili hii itajitupa uwanjani huko nchini Nigeria kuvaana na Rivers United katika mchezo wa marudiano wa michuano hiyo hatua ya awali. Zahera ambaye anasubiriwa kutambulishwa kuwa Mkurugenzi wa Soka la Vijana wa Yanga, anatarajiwa kuwepo katika msafara wa timu hiyo utakaosafiri kwenda Nigeria, kesho Ijumaa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Usajili:Baada ya Kusajiliwa Yanga Yannick Bangala Litombo afunguka Mapya,Raia wa Dr Congo,,,
Usajili:Baada ya Kusajiliwa Yanga Yannick Bangala Litombo afunguka Mapya,Raia wa Dr Congo,,,

Usajili:Baada ya Kusajiliwa Yanga Yannick Bangala Litombo afunguka Mapya,Raia wa Dr Congo,,, Yanga Watangaza kikosi kizima kupelekea MSIMU wa 2021/2022 Na Mfumo mpya 4-1-3-2,wachezaji wapya 11" Usajili:Yanga Sc Washusha Beki kisiki Yannick Bangala Litombo Mrithi wa Lamine Moro,Kutoka Far Rabat Usajili:Majembe Mapya Yanga yaitambia Simba sisi na nyie lini? Moloko Atoa Tamko "mtamsahau Kisinda" Usajili:Majembe Mapya Yanga yaitambia Simba sisi na nyie lini? Moloko Atoa Tamko "mtamsahau Kisinda" Usajili:Kocha wa yanga Nassreddine atangaza kikosi cha kwanza cha Yanga na wachezaji wapya (06)hawa, Usajili:Yanga Sc Washusha mashine tatu kwa Mpigo, Mayele akwama kutua kesho, hii ni balaa watakoma Usajili:Chama wa Simba na Tuisila wasajiliwa RS Berkane Mapya yaibuka,Yanga na Simba za pangwa na CL Usajili:Yanga Washusha Winga hatari kutoka DR Congo huyu zaidi ya Kisinda Ducapel Moloko,Mkataba wak Ratiba kamili ya Klabu Bingwa Africa Simba na Yanga zapangiwa kucheza na timu kubwa Africa Usajili:Yanga Sc Washusha mbadala wa Tuisila Kisinda Sibiri Arnoud sanou wa CottonSports ya Cameroon Usajili:Baada ya Metacha Mnata kutua Simba! Atoa tamko zito Yanga, Mapya yaibuka "USALITI" watajwa,, Usajili:Baada ya kutua Yanga Kiungo Mshambuliaji Gladson Awako wa Accra Great Olimpics Afunguka,,, Usajili:Yanga Washusha kiungo Mshambuliaji hatari sana Gladson Awako wa Accra Great Olimpics y Ghana Breaking:Yanga yatangaza kuwatema Makipa Wawili Farouk Shikalo na Metacha Mnata, Watangaza Wapya,,, KIMEUMANA! Mashabiki wa Yanga Watoa Tamko zito "Hatutaki Aondoke" Viongozi wetu Mamluki wa Simba,,, Breaking:Yanga Waachana Na mchezaji wakimataifa kutoka Congo Tuisila Kisinda, Mrithi wake huyu hapa, Usajili:Record zakipa Mpya Yanga Manula Akasome, ametwaa Makombe makubwa, aliwahi kuwa bora Afrika Usajili:Yanga Wafanya balaa baada ya kunasa saini ya kiungo Mkata umeme kutoka Misri Raia wa Uganda Usajili:Yanga Sc wamsajili winga wakimataifa kutoka Msumbiji Julio Ukonde, Jangwani kumenoga balaa Video:Alivyo tambulishwa Yanga mchezaji Mpya kutoka Mali, huyu ni zaidi ya Manura,Uwezo wake Tazama Usajili:Tazama Golikipa Mpya wakimataifa wa Yanga alivyotua Tanzania kutoka Mali, Huyu ni tishio,,, Usajili:Baada ya Kusajiliwa Yanga Diarra Djigui kutoka Stade Malien mabingwa waali Afunguka,,, Yanga yatangaza kumsajili kipa Diarra Djigui kutoka Mali na Beki kisiki Henock Baka kutoka Congo Usajili:Yanga Washusha Golikipa wakimataifa kutoka Mali huyu ni balaa Diarra Djigui wa Stade Malien Makambo ataja kilicho mrudisha Yanga, Banda Simba tulieni nitawaonesha Afunguka atavyopenya,usajili Kimenuka baada ya Mukoko kuifungisha Yanga dhidi ya Simba,Rafu ya makusudi kwa Bocco,Atoa Tamko Yang KIPYENGA CHA MWISHO:Osman Kazi alivyo toa Utata! Matukio Muhimu Simba dhidi ya Yanga (ASFC)Ufafanuzi KIPYENGA CHA MWISHO:Osman Kazi alivyo toa Utata! Penalt walizo nyimwa Simba dhidi ya Yanga,Ufafanuzi TFF Watoa Tamko zito baada ya Simba kunyimwa Penalt mbili (2) dhidi ya Yanga /Mwamuzi kufungiwa,,,, Msimamo Wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya Mechi Zilizochezwa Jana July 03,2021 Msimamo Wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya Mechi Zilizochezwa Jana June 22,2021 Msimamo Wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya Mechi Zilizochezwa June 17,2021 Yanga vs Ruvu shooting 3-2 |Magoli yote Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights FT: Yanga vs Ruvu shooting 3-2 |Magoli yote Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights Ruvu shooting vs yanga 0-2 |Magoli Yote, Feisali Toto' Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights LIVE:RUVU SHOOTING VS YANGA SC LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA LEO (VPL) Kikosi cha kwanza cha Yanga sc dhidi ya Ruvu shooting leo Ligu kuu ya Vodacom Tanzania nibalaa,,,, Jembe jipya Yanga hili hapa, Nichaguo la kocha Nabi, Yupo katika kikosi cha Tunisia,,, Kocha Mkuu Nasreddine Amshusha Straika Mwarabu Yanga, Awataja wengine wawili, Wapachikaji wa Mabao,, #YangaSc #VPL #SimbaSc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngel #Rayvanny #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam



Usajili:Yanga Sc Wafanya balaa Wamalizana na Mshambuliaji kutoka Wydad Casablanca Francis KAZADI,,,
Usajili:Yanga Sc Wafanya balaa Wamalizana na Mshambuliaji kutoka Wydad Casablanca Francis KAZADI,,,

Usajili:Yanga Sc Wafanya balaa Wamalizana na Mshambuliaji kutoka Wydad Casablanca Francis KAZADI,,, Usajili:Huku Makambo kule Kazadi Mayele naye ndani, Yanga ya Mabao yarejea,,, Breaking:Yanga watoa tamko zito Wamkataa Mwamuzi wa Fainali ya (ASFC) "HATUMTAKI" Yupo Simba! UTATA Ugomvi wa Manara na Barbara CEO wa Simba waibua balaa Yanga Watoa Tamko zito,Wachapana za Uso,Siri h Mshambuliaji wakimataifa Yanga Mghana Michael Sarpong Azua gumzo Yanga Agoma, Atoa tamko,Havunji Mka Hawa wanakuja Yanga,Makambo, Mayele waaga kwao Mayele atamba kuchukua namba ya mtu Yanga,,,, Ratiba ya klabu bingwa Afrika Rasmi Yanga Sc na Simba Sc zapangiwa kucheza na Timu hizi kubwa Afrika Kocha Wa Yanga atangaza majina ya wachezaji sita (6)walio sajiliwa dirisha kubwa la usajili ni balaa Alichokisema Saidi Ntibazonkiza Afunguka mazito kuhusu kusajiliwa Simba Atoa tamko zito Yanga Usajili:Yanga Sc Washusha Mitambo ya Mabao Heritier Makambo kutoka Horoya Ac na Jean Marck Makusu,, Kimenuka CAS watoa tamko zito kuhusu kesi ya Bernard Morrison na Yanga Sc Hukumu nzito yatolewa TFF Rasmi yatangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili leo Tar 19/07/2021,yatoa Tamko zito Yanga hii ni hatarii, yawapiga bao Kali Simba yamchukua mchezaji Kipenzi wa Gomes, Wamaliza na wanne Baada ya Kusaini Miaka Miwili,Straika Mpya Yanga Aiwahi Simba kigoma, Atumiwa tiketi Kutua bongo,,, Shirikisho la Mpira Duniani FIFA latoa Tamko zito Simba baada ya kushinda kombe la Ligi Kuu Tanzania Tamko Zito! Simba wamebebwa sana na Refa, Azam wamenyimwa Penalty Yawazi,tazama tukio Hili Makini,,, Azam vs Simba 1-1 |Magoli Yote Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania FT:Highlights Goli la Nado 43' Min Azam vs Simba 1-0 | Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Highlights (VPL) Azam Fc Vs Simba Sc 1-0 |Goli la Idd Nado Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Highlights 🔴LIVE:AZAM FC VS SIMBA SC LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA LEO (VPL) 🔴LIVE:AZAM FC VS SIMBA SC NUSU FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC) Baada ya kutoka Kifungoni Kiongozi Yanga Mwakalebela atoa Tamko Zito Kwa TFF "MAPAMBANO YANAENDELEA" Baada ya Kumsajili DJuma,Yanga SC Yafuata Straika Jumba AS Vita, As Vita Wafunguka,,,, Yanga Yateketeza Billion 1.1 Kwa Nyota Saba, Wakimataifa Watatu kutoka Congo,,, Kocha Mkuu wa Yanga Nassredine Atangaza Kikosi Msimu Mpya 2021/2022 na Wachezaji walio sajiliwa... Engineer Heris afunguka Manji kamwaga Mkwanja Yanga,Kumenoga Jangwani, Mkutano mkuu Mabilion Yatolew Manji Rasmi alipia kadi yake Yanga, Mambo yaiva,kuibuka Mkutanoni J'pili Bil 1.5 za usajili,Kumenoga Yanga Yamsajili Kipa Bora CAF kumrithi Metacha Mnata, Takwimu Zake ni balaa, kutoka South Africa KIPYENGA CHA MWISHO:Osman Kazi alivyo toa Utata goli la Yanga vs Mwadui na ufafanuzi wa Kiufundi Utata goli LA Tatu la Yanga dhidi ya Mwadui, Manara afichua hii "OFFSIDE YA WAZI" UTO Wanabebwa ona! Msimamo Wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya Mechi Zilizochezwa Jana June 20,2021 Msimamo Wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya Mechi Zilizochezwa June 17,2021 Yanga vs Ruvu shooting 3-2 |Magoli yote Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights FT: Yanga vs Ruvu shooting 3-2 |Magoli yote Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights Ruvu shooting vs yanga 0-2 |Magoli Yote, Feisali Toto' Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights LIVE:RUVU SHOOTING VS YANGA SC LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA LEO (VPL) Kikosi cha kwanza cha Yanga sc dhidi ya Ruvu shooting leo Ligu kuu ya Vodacom Tanzania nibalaa,,,, Jembe jipya Yanga hili hapa, Nichaguo la kocha Nabi, Yupo katika kikosi cha Tunisia,,, Kocha Mkuu Nasreddine Amshusha Straika Mwarabu Yanga, Awataja wengine wawili, Wapachikaji wa Mabao,, MUKOKO Tonombe Afichua Siri Yanga, Afunguka Kutua Simba msimu ujao,huduma anayo pewa,,, Yanga yaipora TP Mazembe Kiungo, Fundi wa Mpira anafunga na Kuasist, MERCEY VUMBI NGIMBI ni hatari,, Yanga sc Watua kwa Mkata umeme wa Kaizer Chiefs Anthony Akum Akum, uwezo wake ni balaa,,, Injinia Herse Wa GSM kutua Misri, Sudan na Ethiopia kusaka Wachezaji hatari,atua kwa Mshambuliaji hu Balaza la Wazee Yanga latoa Tamko Zito "Yanga haichezi tena na Simba VPL" Msola hafai,TFF tuta walip #YangaSc #VPL #SimbaSc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #Rayvanny #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam



IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE
IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE

Makambo ni kama amechoka maisha ya Guinea akiwa na klabu ya AC Horoya iliyomnunua miaka mitatu iliyopita akitokea Yanga na sasa yuko tayari kurejea tena Jangwani kuendelea kuwajaza kama alivyofanya wakati akikiwasha chini ya kocha Mwinyi Zahera. Young Africans itasajili mastraika wawili wazuri ukiwa ndio mpango namba moja wa mabosi wa timu hiyo iliyo chini ya Kocha Nasreddin Nabi, na jina la Makambo linaonekana kuzidi kung’aa katika msako wa mabosi hao wa klabu hiyo ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Mwadui katika mechi ya Ligi Kuu. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #makambo #usajiliyangasc



New Jersey Devils Fire JOHN HYNES!!!
New Jersey Devils Fire JOHN HYNES!!!

🎥 In this video I bring you the Breaking News that Head Coach of the New Jersey Devils JOHN HYNES has been FIRED!!! He is being replaced by this assistant coach Alain Nasreddine! Nasreddine will be listed as Interim Head Coach for now and Peter Horachek has been promoted to Assistant Coach. This firing comes off of a 7-1 loss to the Buffalo Sabres! The Devils are siting 2nd last in the NHL and are not meeting the expectations GM Ray Shero had for the team going into the season! This will be Taylor's Hall 8th Head Coach in his NHL career. - Hynes was the head coach for 5 season with the Devils. They only made the playoffs once in that time period and last in the 1st round. - Nasreddine has been the assistant coach of the Devils for the past 5 season and was the assistant coach for Wilkes-Barre/Scranton Penguins for the 5 seasons before that. Nasreddine played in the NHL for the Chicago Blackhawks, Montreal Canadiens, New York Islanders and Pittsburgh Penguins. He played most of his professional career in the AHL. - There has been lots of trade speculation and trade rumours revolving around Taylor Hall! Hall is excepted to be traded before the NHL Trade Deadline. Please Like, Subscribe and keep the Conversation going in the Comments below! I Reply as much as I can. Follow me on Twitter! - https://twitter.com/ValleyHockey1 #devils #NJDevils #hynes #nasreddine #fired #NHL #hockey #valleyhockeytalk #newjersey Other Videos From Channel: - https://www.youtube.com/watch?v=a0BWBhFwXV4&feature=youtu.be - https://studio.youtube.com/video/oFo4AlSwD4Y/edit - https://www.youtube.com/watch?v=zGvNGvn3L3k&feature=youtu.be - https://www.youtube.com/watch?v=6vKtmDsB_c8&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=wanpsl-VXGc&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=hPmOXXZyuhE&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=VTlH0UsXRRs&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=RAqVKX1bLqU&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=aobOxLF0C_s&t=60s https://www.youtube.com/watch?v=fkOGvPQwVLc&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=2E--hPxGG_c&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=lmhX5gs2REo&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=IynXRPNyud4&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=C_4LJ8G-1i0&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=tH-qJzDDLMo&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=8oIdLmO1eVw&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=bMTd7AC-anU&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=IMOcM_1TuAQ&feature=youtu.be https://www.youtube.com/watch?v=UDOyDpPw6qA&feature=youtu.be




« Previous Next »


Popular Tags

#Cleveland Cavaliers  #David Silva  #Golden State Warriors  #Zlatan Ibrahimovi  #Paul George  #Paul Pogba  #Gareth Bale  #Goalkeeper Saves  #Derrick Rose  #Russell Westbrook  

Popular Users

#iamsrk  #JayBilas  #GNev2  #britneyspears  #BizNasty2point0  #realDonaldTrump  #twitter  #ArianaGrande  #steveaustinBSR  #mcuban  #KevinHart4real  #RealSkipBayless  #josecanseco  #tigerwoods