Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa Kundi D jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na viungo Luis Miquissone kutoka Msumbiji dakika ya 30 na Wazambia Clatous Chama dakika ya 45 na ushei na 84 na Larry Bwalya dakika ya 66, wakati bao pekee la Vita limefungwa na kiungo Mkongo Zemanga Soze dakika ya 32. Kwa ushindi huo, Simba SC inayofundishwa na Mfaransa Didier Gomes Da Rosa inafikisha pointi 13 na kuendelea kuongoza kundi hilo, ikifuatiwa na mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri yenye pointi nane. Baada ya sare ya 2-2 na wenyeji, El Merreikh nchini Sudan leo, Ahly inamaliza nafasi ya pili na kuungana na Simba SC kwenda Robo Fainali. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
TAMBO za HAJI MANARA Baada ya KUICHAPA AL MERRIKH - "HAKUNA TIMU INAYOTUZIDI" MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Haji Manara, ametamba kuwa kwa sasa Simba ndio timu bora kwani mpaka sasa imecheza mech nane na imeruhusu bao moja tu.. Tambo hizi zimkuja baada ya leo Machi 16, Simba kuilaza Al Merreikh ya Sudani kwa mabo 3 kwa bila katika dimba la Mkapa, Dar es salaam.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Tazama mashuti nane yaliyopigwa na wachezaji wa Dodoma Jiji kwenye lango la Simba na golikipa Aishi Manula kuonesha ufundi wake. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Tulianza ligi vizuri sana…tukashinda michezo saba…mchezo wa nane tukapoteza…sasa kuanzia mechi ya nane hadi ya 12 tuliyocheza jana… timu haichezi vizuri kabisa… hakuna kesho nzuri…” - Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Azam Fc Thabit Zakaria, akieleza sababu za kumtimua kocha Aristica Cioaba. #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #AzamFC #YangaSC #AzamYanga Ligi Kuu Tanzania Bara, VPL Updates, VPL, Vodacom Premier League, Azam FC, Yanga SC, Azam Yanga Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mwamuzi mstaafu Osman Kazi achambua baadhi ya matukio tata na vurugu zilizojitokeza kwenye mchezo wa VPL kati ya Simba na Ruvu Shooting. Pia zimeangaliwa mechi nyingine za raundi ya nane ikiwemo Ihefu vs Namungo, Coastal Union vs Gwambina, Polisi vs Biashara pamoja na KMC vs Yanga Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAADA ya kuchezeshwa pira gwaride ndani ya dakika 180 kwa msimu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara na kuyeyusha pointi sita ilizokuwa inasaka Klabu ya Simba imeomba msamaha kwa mashabiki wao kutokana na kupitia mapito hayo magumu. Simba ambao ni mabingwa watetezi walianza kupoteza mchezo wa kwanza Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela na walipoteza pia mchezo wa pili Oktoba 26 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Uhuru. Nahodha wa Simba, John Bocco amesema kuwa kutokana na matokeo hayo ambayo wameyapata kwenye michezo miwili mfululizo wanahitaji msamaha kwa kuwa waliteleza na kuahidi kurejea kwenye ubora katika mechi zao zijazo. "Kwa niaba ya wachezaji tunaomba mtusamehe kwa matokeo tuliyoyapata ya michezo miwili iliyopita tuliteleza na tumeshateleza hatupaswi kuteleza tena. "Ahadi yetu kwetu kurekebisha makosa yetu na kurudi kwenye sura ya upambanaji mpya kwa michezo tu ijayo," amesema. Simba ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 13, imecheza mechi saba na kupoteza jumla ya pointi nane kwa kuwa imelazimisha sare moja na kushinda mechi mbili. Kinara ni Azam FC mwenye pointi 21 baada ya kucheza mechi nane ameshinda saba na kupoteza mechi moja anafuatiwa na Yanga nafasi ya tatu, pointi 19 amecheza mechi saba na ameshinda sita huku akiwa amelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Kagera Sugar imekubali kichapo cha bao 1-2, wakiwa dimbani kwao Kaitaba kwenye mchezo wa VPL raundi ya nane. Ushindi huo ni wa kwanza kwa Mbeya City tangu msimu wa 2020/2021. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ikiwa katika dimba la Mkwakwani Tanga, Coastal Union imevutwa shati na Gwambina FC ya jijini Mwanza kwenye mchezo wa VPL raundi ya nane uliomalizika kwa sare ya 1-1. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz