“Tulianza ligi vizuri sana…tukashinda michezo saba…mchezo wa nane tukapoteza…sasa kuanzia mechi ya nane hadi ya 12 tuliyocheza jana… timu haichezi vizuri kabisa… hakuna kesho nzuri…” - Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Azam Fc Thabit Zakaria, akieleza sababu za kumtimua kocha Aristica Cioaba. #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #AzamFC #YangaSC #AzamYanga Ligi Kuu Tanzania Bara, VPL Updates, VPL, Vodacom Premier League, Azam FC, Yanga SC, Azam Yanga Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Mtu aliyekuwa na funguo alikuwa mbali sana…”- Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Azam Fc Thabit Zakaria, akieleza kilichomsibu mpaka kupelekea kuvuja jasho wakati wa mechi kati ya Azam na Yanga iliyochezwa Novemba 25 katika dimba la Chamazi. #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #AzamFC #YangaSC #AzamYanga Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz