Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAADA ya kuchezeshwa pira gwaride ndani ya dakika 180 kwa msimu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara na kuyeyusha pointi sita ilizokuwa inasaka Klabu ya Simba imeomba msamaha kwa mashabiki wao kutokana na kupitia mapito hayo magumu. Simba ambao ni mabingwa watetezi walianza kupoteza mchezo wa kwanza Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela na walipoteza pia mchezo wa pili Oktoba 26 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Uhuru. Nahodha wa Simba, John Bocco amesema kuwa kutokana na matokeo hayo ambayo wameyapata kwenye michezo miwili mfululizo wanahitaji msamaha kwa kuwa waliteleza na kuahidi kurejea kwenye ubora katika mechi zao zijazo. "Kwa niaba ya wachezaji tunaomba mtusamehe kwa matokeo tuliyoyapata ya michezo miwili iliyopita tuliteleza na tumeshateleza hatupaswi kuteleza tena. "Ahadi yetu kwetu kurekebisha makosa yetu na kurudi kwenye sura ya upambanaji mpya kwa michezo tu ijayo," amesema. Simba ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 13, imecheza mechi saba na kupoteza jumla ya pointi nane kwa kuwa imelazimisha sare moja na kushinda mechi mbili. Kinara ni Azam FC mwenye pointi 21 baada ya kucheza mechi nane ameshinda saba na kupoteza mechi moja anafuatiwa na Yanga nafasi ya tatu, pointi 19 amecheza mechi saba na ameshinda sita huku akiwa amelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
USAJILI WA PACOME KUJA SIMBA, AHMED ALLY AFUNGUKA UKWELI WOTE, TSHABALALA ANAKWENDA YANGA? : : SIMBA NA YANGA MECHI YA DERBY DERBY YA KARIAKOO KUFUNGWA KWA KANISA LA GWAJIMA JOSEPHAT GWAJIMA MBUNGE WA KAWE MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA RAIS SAMIA SULUHU JAKAYA KIKWETE WAZIRI MKUU MAJALIWA CCM DODOMA FAINALI YA BERKANE VS SIMBA UWANJA WA AMANI ZANZIBAR WAARABU MOROCCO WAIPIGIA SALUTI SIMBA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA #shorts #viralshorts #simbasc #simbavsrsbeekane #amanizanzibar #uwanjawaamani #benjaminmkapa #eliempanzu #yanga #yangasc #cafchampionleague #cafconfiderationcup #rsberkane #uwanjawamkapa #simbavsyanga #millardayo #globaltvonline #ayomatv #jambotv #wasafi #wasafitv #wasafimedia #wasafifm #ahmedally #cloudsfm #jeancharlesTelegram: Karibu upate Habari za uhakika hapa Champion Habari Habari za Siasa | Kijamii | Michezo | Burudani na Uchambuzi. WASILIANA NASI +255 655 100 695 Email: championhabari@gmail.com Follow us Instagram: championhabari Instagram:https://www.instagram.com/champion_habari?igsh=MXF5aWNqaWFqdXVjbA==
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Mchezo wa kilele cha Wiki ya Mwananchi kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya vigogo ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika ...