#Hajimanara #allykiba #alikiba #Manara #ManaraTv #ManaraTvUpdate #HajimanaraAllyKiba
Matchday: β β LET'S GO! Shabana Fc VS MCF FC 2PM EAT π Gusii Stadium, Kisii Mungu Mbele ππππ
NDOTO YETU ITATIMIA kwa uwezo wake Mungu. ASILI YA SOKA NI KIGOMA, Ndio! Timu yetu ya Mashujaa Lake Tanganyika FC Leo inacheza mchezo muhimu katika kampeni yake ya kwenda Ligi Kuu ya Tanzania. Tunacheza na Mbeya City jijini Mbeya. Mchezo wa kwanza Mashujaa FC tulishinda 3-1.β¦
Matchday: β β LET'S GO! Darajani Gogo Fc VS Shabana Fc 3PM EAT π Police Sacco Stadium, South C Mungu Mbele ππππ
Mm Ambakisye Mwakisyala Kesho Mungu atakapo penda nitakuwepo njian kuelekea mbeya kwenda kutazama Mechi Kati ya mbeya City na Mashujaa ya kigoma. Naomba wanaChadema mbeya mnipokeni na kunipatia ushirikiano sina Ndugu mbeya zaidi wanachama wa Chadema. Share
Share, Support, Subscribe!!! Twitter: http://www.twitter.com/vimbamedia Facebook: http://www.facebook.com/vimbamedia Instagram: http://instagram.com/vimbamediatz #HZBMedia #ActiveMedia #VimbaMedia #UsajiliwaSimba2023
KIMENUKA HAJI MANARA AVUJISHA SAUTI FEI TOTO AKIFUNDISHWA NAMNA YA KUIONGELEA YANGA KWA MABAYA LEO!!In @mangekimambi_ voice,,Fei achafua hali ya hewa,, Mungu huwa na sababu zake hadi kuwezesha hii Clip kuvuja, Feisal na Meneja wake wakifundishana jinsi ya kujibu uongo. Eti Ugali na Sukari alikula Yanga wakati wa utawala uliopita na sio sasa,hivi Kuna Mtu nchi hii anakula Ugali na Sukari? Ipo Club inafanya hivyo nchini? Meneja unadiriki kumfundisha huyo Mtoto aseme uongo ili udhalilishe watu? Mara Msola mzuri mara utawala wake ulimlisha Ugali na Sukari? Hivi unapomfundisha kuwa Hersi @caamil_88 alimyanyasa, kwa nini husemi hayo manyanyaso? Mmemuingiza chaka huyu dogo lakini ioo siku fahamu zitamrudia na atakuja kuwachukia maisha yenu yote. Hivi mshajua kwa nini hizo Sauti zenu zimavuja? Ni Mungu huyo kataka kuwadhalilisha, halaf mmeenda Makka kuhiji? Hijja gani mnayo wakati mnafundishana dhulma ya kuwachafua wenzenu Hakuna Taqwa hapo na Mungu kawaumbua Kweupeeee,,Bad luck mmevujisha wenyew bila kujijua,,Na Sisi tunapeleka hii Clip CAS kama kielelezo cha nia ovu ya tamaa ya wanaomzunguka ktk kulazimisha kuvunja mkataba,, Hata ile michongo kumbe ni gia tu ya kujipatia pesa,,Kiko wapi sasa? Mmemuona Mungu alivyo Mtukufu? Asante sana Muumba wetu,,ππ»ππ» #hajimanara #feisal #feisalsalum #feitoto #yangasc #yangasc