Mm Ambakisye Mwakisyala Kesho Mungu atakapo penda nitakuwepo njian kuelekea mbeya kwenda kutazama Mechi Kati ya mbeya City na Mashujaa ya kigoma. Naomba wanaChadema mbeya mnipokeni na kunipatia ushirikiano sina Ndugu mbeya zaidi wanachama wa Chadema. Share