KIMENUKA HAJI MANARA AMJIBU FEI TOTO AVUJISHA SAUTI FEITOTO AKIFUNDISHWA KUIONGELEA MABAYA YANGA SC! by @FARASI MEDIA - Post Details

KIMENUKA HAJI MANARA AMJIBU FEI TOTO AVUJISHA SAUTI FEITOTO AKIFUNDISHWA KUIONGELEA MABAYA YANGA SC!

KIMENUKA HAJI MANARA AVUJISHA SAUTI FEI TOTO AKIFUNDISHWA NAMNA YA KUIONGELEA YANGA KWA MABAYA LEO!!In @mangekimambi_ voice,,Fei achafua hali ya hewa,, Mungu huwa na sababu zake hadi kuwezesha hii Clip kuvuja, Feisal na Meneja wake wakifundishana jinsi ya kujibu uongo. Eti Ugali na Sukari alikula Yanga wakati wa utawala uliopita na sio sasa,hivi Kuna Mtu nchi hii anakula Ugali na Sukari? Ipo Club inafanya hivyo nchini? Meneja unadiriki kumfundisha huyo Mtoto aseme uongo ili udhalilishe watu? Mara Msola mzuri mara utawala wake ulimlisha Ugali na Sukari? Hivi unapomfundisha kuwa Hersi @caamil_88 alimyanyasa, kwa nini husemi hayo manyanyaso? Mmemuingiza chaka huyu dogo lakini ioo siku fahamu zitamrudia na atakuja kuwachukia maisha yenu yote. Hivi mshajua kwa nini hizo Sauti zenu zimavuja? Ni Mungu huyo kataka kuwadhalilisha, halaf mmeenda Makka kuhiji? Hijja gani mnayo wakati mnafundishana dhulma ya kuwachafua wenzenu Hakuna Taqwa hapo na Mungu kawaumbua Kweupeeee,,Bad luck mmevujisha wenyew bila kujijua,,Na Sisi tunapeleka hii Clip CAS kama kielelezo cha nia ovu ya tamaa ya wanaomzunguka ktk kulazimisha kuvunja mkataba,, Hata ile michongo kumbe ni gia tu ya kujipatia pesa,,Kiko wapi sasa? Mmemuona Mungu alivyo Mtukufu? Asante sana Muumba wetu,,๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป #hajimanara #feisal #feisalsalum #feitoto #yangasc #yangasc

Similar Posts!

May 11, 2026 (Colorado Avalanche vs. Minnesota Wild - Game 4) - HNiC - Opening Montage
May 11, 2026 (Colorado Avalanche vs. Minnesota Wild - Game 4) - HNiC - Opening Montage

Official HNiC website: http://www.cbc.ca/sports/hockey/nhl All rights reserved to the Canadian Broadcasting Corporation (CBC).



Avs @ Wild Postgame LIVE R2G4 | Guerilla Sports Stanley Cup Playoffs
Avs @ Wild Postgame LIVE R2G4 | Guerilla Sports Stanley Cup Playoffs

Meghan Angley is LIVE after a pivotal Game 4 between the Avs and Wild, as the Avs look to take a 3-1 series lead, but the Wild ...



NBA Playoffs LIVE STREAM: Cleveland Cavaliers vs. Detroit Pistons Game 4 Scoreboard & Play-By-Play
NBA Playoffs LIVE STREAM: Cleveland Cavaliers vs. Detroit Pistons Game 4 Scoreboard & Play-By-Play

Cleveland Cavaliers vs. Detroit Pistons NBA live game 4 on NBC is here on today's Chat Sports 2026 NBA Playoff live stream.



Ryan Weathers strikes out 9 batters in Baltimore
Ryan Weathers strikes out 9 batters in Baltimore

After allowing no hits through six innings, Ryan Weathers reflects on his outing against the Orioles. Subscribe for daily sports ...



Avs @ Wild 2nd Intermission Report R2G4 | Guerilla Sports Stanley Cup Playoffs
Avs @ Wild 2nd Intermission Report R2G4 | Guerilla Sports Stanley Cup Playoffs

Meghan Angley is LIVE during the 2nd intermission of a pivotal Game 4 between the Avs and Wild, as the Avs look to take a 3-1 ...



Colorado Avalanche vs Minnesota Wild GAME 4 LIVE from Society Sports & Spirits!
Colorado Avalanche vs Minnesota Wild GAME 4 LIVE from Society Sports & Spirits!

The Avalanche were far from their best in their Game 3 loss. Will it be Wedgewood or Blackwood in net for Colorado tonight after ...