Azam FC imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar ikifungwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa CCM Shabiby Gairo, mkoani Morogoro. Goli la maajabu limefungwa na Isa Rashid 'Baba Ubaya' kwa kona iliyoingia yenyewe. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco, Mohamed Hussein na Hassan Dilunga. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► http://play.google.com/store/apps/details… Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco, Mohamed Hussein na Hassan Dilunga. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ni mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara , Mtibwa Sugar ikifanikiwa kupata ushindi wa bao mbili kwa moja dhidi ya wagosi wa kaya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa kwenye dimba Jamhuri mkoani Morogoro. Huu unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo Mtibwa wanashinda nyumbani baada ya kuanza vibaya msimu huu lakini kwa sasa wamebadilika na kurejea kwenye kiwango chao kilichozoeleka kutokana na ukongwe wao kwenye ligi. Mabao ya Mtibwa Sugar yalifungwa na Dickson Daud Mbekya na Jafar Kibaya wakati bao la kufutia machozi la Coastala Union likifungwa na Kibailo.
Timu ya Biashara United kutoka mkoani Mara imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC katika mchezo uliopigwa leo kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Biashara ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Innocent Edwin dakika ya 14 kabla ya Simba kusawazisha dakika ya 17 kupitia kwa Clatous Chama akimalizia krosi ya Mohamed Hussein. Sima imefikisha pointi 92 kileleni wakati Biashara United ikifufua matumaini ya kubaki ligi kuu kwa kujiongeza pointi moja na kufikisha pointi 44 kwenye nafasi ya 12. Katika mchezo wa mwisho Biashara itacheza ugenini dhidi ya Mbeya City na italazimika kushinda au kupata sare ili kuepuka adhabu ya kushuka daraja moja kwa moja wakati Simba ambayo haina cha kupoteza ikienda kumalizia mkoani Morogoro dhidi ya Mtibwa Sugar na kukabidhiwa kombe lao la ubingwa.

Simba SC yaibwaga Coastal Union kwenye dimba lake la Mkwakwani na Yanga SC walizwa na Mtibwa Sugar Morogoro. Kesho ni zamu ya Azam FC dhidi ya Ndanda mkoani Tabora. Kwa hayo na mengine mengi ya kimichezo ungana na Ahmed Ally ndani ya Mshikemshike Viwanjani.