ALI KAMWE anusurika Kipigo | Mzigo Mkubwa Sh10 Bilioni jezi feki Simba, Yanga zakamatwa MLINZI awaka
ALI KAMWE anusurika Kipigo | Mzigo Mkubwa Sh10 Bilioni jezi feki Simba, Yanga zakamatwa MLINZI awaka

Ofisa habari wa klabu ya Yanga, Ally Kamwe ameiomba Serikali kuingilia kati suala la kukamatwa kwa mzigo mkubwa wa jezi feki za klabu za Simba, Yanga na timu ya Taifa ambao upo maeneo ya Chang'ombe Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Kamwe ameyasema hayo leo Jumatano Oktoba 25, 2023 wakati waliposhtukiza eneo ulipo mzigo huo baada ya kusikia taarifa kuwa upo katika harakati za kuhamishwa kwenda sehemu nyingine. Wakati Kamwe akizungumza na waandishi wa habari katika eneo hilo mlinzi alionekana kuanzisha fujo nakuwataka waandishi pamoja na ofisa habari huyo kuondoka eneo hilo. . #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot



🔴#LIVE: KWA MASIKITIKO AHMED ALLY AMUAGA PASCAL WAWA/ KUMSAJILI VICTAR AKPANI SIMBA SC...
🔴#LIVE: KWA MASIKITIKO AHMED ALLY AMUAGA PASCAL WAWA/ KUMSAJILI VICTAR AKPANI SIMBA SC...

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally Atolea Ufafanuzi kuhusu kumuacha Mlinzi wao wa kati Pascal Serge Wawa,Bernard Morrison kunyiwa Barua ya Kuachiwa Huru(Release Letter)na Simba Sc ili Aweze kucheza Michuano ya CAF, Usajili wa Wachezaji wapya Simba Sc, Tetesi za Usajili wa Mchezaji Raia wa Nigeria Victor Patrick Akpan anayecheza Coastal Union ya Tanga n.k #mpenjatv #yangasc #simbasc #ahmedally



Fahamu historia ya beki wa Stand United, Niyonkuru Nassor (MAKALA – TPL 2018/19)
Fahamu historia ya beki wa Stand United, Niyonkuru Nassor (MAKALA – TPL 2018/19)

Miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa msimu huu katika klabu ya Stand United ni Mlinzi Niyonkuru Nassor raia wa Burundi. Kwenye Makala hii, beki huyo anaeleza historia yake ya soka tangu alivyoanza nchini Burundi hadi alipofika Stand United huku akimtaja Kocha Msaidizi wa Simba Masoud Djuma katika mafanikio yake. Beki huyo pia ameeleza ni kwanini anafikiri Stand United ina wachezaji wengi kutoka Burundi.



HIGHLIGHTS: RUVU SHOOTING 1-0 STAND UNITED (VPL - 14/05/2018)
HIGHLIGHTS: RUVU SHOOTING 1-0 STAND UNITED (VPL - 14/05/2018)

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya timu ya Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) uliopgwa leo kwenye Uwanja wa Mabatini. Goli la Ruvu Shhoting limefungwa na mlinzi wa kati wa timu hiyo Rajab Zahir akiunganisa krosi ya Khamis Mcha Viali dakika ya 73 ya mchezo. Hata hivyo vijana hao wa kocha Abdul Haji walipata nafasi nyingi hasa kipindi cha kwanza lakini walishindwa kuzitumia zikiwemo nafasi mbili zilizopotea kupitia kwa Fully Maganga.



Bao la Adam Salamba: LIPULI FC 1 v SIMBA SC 0
Bao la Adam Salamba: LIPULI FC 1 v SIMBA SC 0

Tazama Adam Salamba alivyoitanguliza Lipuli FC kwa bao maridadi baada ya kumlamba chenga mlinzi wa Simba na kupiga shuti ambalo Aishi Manula ameshindwa hata kujaribu kulifuata.





Popular Tags

#Chris Paul  #Russell Westbrook  #Kyrie Irving  #Philadelphia 76ers  #Stephen Curry  #Kevin Durant  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goals Ever  #Allen Iverson  #Best Ball Controls  

Popular Users

#shakira  #AntDavis23  #selenagomez  #rogerfederer  #RyanBabel  #rihanna  #katzm  #JLo  #SimplyAJ10  #NiallOfficial  #BMcCarthy32  #ladygaga