Content removal request!


Fahamu historia ya beki wa Stand United, Niyonkuru Nassor (MAKALA – TPL 2018/19)

Miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa msimu huu katika klabu ya Stand United ni Mlinzi Niyonkuru Nassor raia wa Burundi. Kwenye Makala hii, beki huyo anaeleza historia yake ya soka tangu alivyoanza nchini Burundi hadi alipofika Stand United huku akimtaja Kocha Msaidizi wa Simba Masoud Djuma katika mafanikio yake. Beki huyo pia ameeleza ni kwanini anafikiri Stand United ina wachezaji wengi kutoka Burundi.