Content removal request!


HIGHLIGHTS: RUVU SHOOTING 1-0 STAND UNITED (VPL - 14/05/2018)

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya timu ya Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) uliopgwa leo kwenye Uwanja wa Mabatini. Goli la Ruvu Shhoting limefungwa na mlinzi wa kati wa timu hiyo Rajab Zahir akiunganisa krosi ya Khamis Mcha Viali dakika ya 73 ya mchezo. Hata hivyo vijana hao wa kocha Abdul Haji walipata nafasi nyingi hasa kipindi cha kwanza lakini walishindwa kuzitumia zikiwemo nafasi mbili zilizopotea kupitia kwa Fully Maganga.