Ligi Kuu Tanzania kuendelea tena kesho huku vinara Yanga SC wakiwa uwanjani huku Simba SC wakiwakabili Coastal Union, Wagosi wa Kaya kwenye dimba la Mkwakwani. Kwa hayo na mengine mengi ya kimichezo ungana na Fatma Chikawe ndani ya MSHIKEMSHIKE VIWANJANI.