Kipanga 0-0 Club Africain | Highlights  |  CAF Confederation Cup 08/10/2022
Kipanga 0-0 Club Africain | Highlights | CAF Confederation Cup 08/10/2022

Tazama highlights... Kipanga FC ya Zanzibar ikiwalazimisha suluhu wakongwe katika michuano ya Afrika, Club Africain kutoka ...



WAFAHAMU  WAPINZANI WA YANGA AL HILAL SUDAN, NI MATAJIRI HASWA, NYOTA WAO TISHIO, REKODI KALI AFRIKA
WAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA AL HILAL SUDAN, NI MATAJIRI HASWA, NYOTA WAO TISHIO, REKODI KALI AFRIKA

HII NDIO REKODI FUPI YA WAPINZANI WA YANGA KATIKA MICHUANO YA KIMATAIFA KLABU YA AL HILAL YA NCHINI SUDAN PAMOJA NA HISTORIA YAO KATIKA MICHUANO HII



Uganda 3-0 Tanzania | Highlights | CHAN 2023 Qualifiers 03/09/2022
Uganda 3-0 Tanzania | Highlights | CHAN 2023 Qualifiers 03/09/2022

KUFUZU CHAN: Ndoto za Tanzania kufuzu michuano ya CHAN mwaka 2023 nchini Cameroon zimeyeyuka baada ya kupokea ...



Magoli ya Uganda ikiitandika Tanzania 3-0 Kufuzu CHAN 03/09/2022
Magoli ya Uganda ikiitandika Tanzania 3-0 Kufuzu CHAN 03/09/2022

Ndoto za Tanzania kufuzu michuano ya CHAN mwaka 2023 nchini Cameroon zimeyeyuka baada ya kupokea kipigo cha mabao ...



TUISILA KISINDA AMUIBUA ALI MAYAY/ AZIZ KI ULIKUWA NI USAJILI BORA/TAIFA STARS VS UGANDA KAZI IPO.
TUISILA KISINDA AMUIBUA ALI MAYAY/ AZIZ KI ULIKUWA NI USAJILI BORA/TAIFA STARS VS UGANDA KAZI IPO.

Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini kupitia kituo Cha Azam Tv Ali Mayay Tembele amezungumza baada ya dirisha la usajili kufungwa na kusema Nini kilimvutia zaidi katika dirisha hili. Amegusia pia uchambuzi wa timu ya Taifa ya Tanzania kwenye mchezo dhidi ya Uganda kwenye michuano ya kufuzu CHAN



TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUCHUKUA UBINGWA CECAFA/"TUNAKWENDA KUPAMBANA NA WAKUBWA”
TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUCHUKUA UBINGWA CECAFA/"TUNAKWENDA KUPAMBANA NA WAKUBWA”

Leo Tarehe 27/8/2022 ni Mtanange wa Fainali ya michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake ukanda wa CECAFA kati ya Simba Queens dhidi ya She Corporates kutoka Uganda, Mchezo Unaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Saa Moja Usiku.



Highlights | Somalia 0-1  Tanzania | Kufuzu CHAN 23/07/2023
Highlights | Somalia 0-1 Tanzania | Kufuzu CHAN 23/07/2023

Tazama mambo yalivyokuwa kwenye mchezo wa Kufuzu michuano ya CHAN 2023 wakati Tanzania ikiichapa Somalia 0-1 ...




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul Pogba  #Shot Goals  #Thomas Muller  #Paul Pogba  #Cristiano Ronaldo  #Best Champions League  #Best Goals Ever  #Kevin Durant  #Kawhi Leonard  #Best Football Defending Skills  

Popular Users

#strombone1  #DjokerNole  #tigerwoods  #MichelleDBeadle  #SrBachchan  #jadande  #BillGates  #BizNasty2point0  #LAKings  #rihanna  #espn  #Buster_ESPN  #TimTebow  #BrunoMars  #billsimmons