Kombe la Dunia: Ghana yafanya vizuri, Korea Kusini yaonyesha ushindani mkali
Kombe la Dunia: Ghana yafanya vizuri, Korea Kusini yaonyesha ushindani mkali

Michuano ya soka inaendelea huko Qatar ambako timu nyingi zinaendelea kuwashangaza wengi. Lakini ni kitu gani ambacho ...



SIKIA TAMBO ZA MASHABIKI WA YANGA KUFUZU MAKUNDI CAF/SIKIA TAMBO ZA MWALIMU YANGA
SIKIA TAMBO ZA MASHABIKI WA YANGA KUFUZU MAKUNDI CAF/SIKIA TAMBO ZA MWALIMU YANGA

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika Yanga imefuzu hatua ya makundi kwenye michuano hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 ugenini. Yanga ilikuwa wageni wa Club Africain kutokea Tunisia na ilikubali kulala kwa bao 1-0, lilifungwa na kiungo mtaalamu Aziz Ki baada ya kupokea pasi nzuri na straika, Fiston Mayele dakika 79. Ki hakuanza kwenye kikosi cha kwanza aliingia kipindi cha pili na alionekana kuongeza umakini kwa Yanga haswa eneo la kushambulia hadi kupata ushindi huo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV



HAWA HAPA WAPINZANI WA YANGA SHIRIKISHO, WAFAHAMU CLUB AFRICAIN KUTOKA TUNISIA, YANGA KAZI WANAYO
HAWA HAPA WAPINZANI WA YANGA SHIRIKISHO, WAFAHAMU CLUB AFRICAIN KUTOKA TUNISIA, YANGA KAZI WANAYO

Ifahamu Club Africains kutoka Tunisia ambao ni wapinzani wa Yanga katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.



KAULI YA KWANZA YA MAYELE BAADA YA KUSHINDWA KUPINDUA MEZA SUDAN
KAULI YA KWANZA YA MAYELE BAADA YA KUSHINDWA KUPINDUA MEZA SUDAN

Kikosi cha Yanga SC kimewasili leo jijini Dar es Salaam kikitokea Khartoum Sudan ambapo ilikwenda kucheza mchezo wa marudiano wa round ya kwanza dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Yanga wameondolewa kwa kufungwa goli 1-0 hivyo wameaga michuano hiyo kwa aggregate ya 2-1, Yanga wanarejea Dar es Salaam wakisubiria kucheza play off ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya November 2 & 9 2022.



Al Hilal 1-0 Yanga | Highlights | CAF Champions League 16/10/2022
Al Hilal 1-0 Yanga | Highlights | CAF Champions League 16/10/2022

Goli pekee la Mohamed Abdelhaman Yousef limeitupa Yanga nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika ...



#CAFCL | Goli lililowatupa nje Yanga dhidi ya Al Hilal | 16/10/2022
#CAFCL | Goli lililowatupa nje Yanga dhidi ya Al Hilal | 16/10/2022

Goli pekee la Mohamed Abdelhaman Yousef limeitupa Yanga nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika ...



Azam 2-0 Al Akhdar | Highlights | CAF Confederation Cup 16/10/2022
Azam 2-0 Al Akhdar | Highlights | CAF Confederation Cup 16/10/2022

Azam FC wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Akhdar lakini wametupwa nje kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho ...



Magoli | Azam 2-0 Al Akhdar | CAF Confederation Cup 16/10/2022
Magoli | Azam 2-0 Al Akhdar | CAF Confederation Cup 16/10/2022

Azam FC wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Akhdar lakini wametupwa nje kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho ...




« Previous Next »


Popular Tags

#Football Defensive Skills  #Counter Attack Goals Football  #Paul Pogba  #Best Football Defending Skills  #Best Goalkeeper Saves  #Manuel Neuer  #Mesut Ozil  #Thomas Muller  #Boston Celtics  #Russell Westbrook  

Popular Users

#BadgerMBB  #serenawilliams  #billsimmons  #elonmusk  #RobGronkowski  #katyperry  #MieshaTate  #jimmyfallon  #DanicaPatrick  #realDonaldTrump  #BMcCarthy32  #oldhossradbourn  #JoelEmbiid  #Ky1eLong  #CP3