π¨LIVE: FUATILIA MATANGAZO YA MCHEZO WA MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KATI YA SIMBA SC VS IHEFU FC
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri πππππ΄:TAZAMA DROO MICHUANO YA AFRICA /SIMBA NA YANGA WAPANGIWA VIGOGO
Leo hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 2:00 Usiku itachezwa Mechi ya Kusaka Tiketi ya Kufuzu Michuano ya ...
Leo hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 2:00 Usiku itachezwa Mechi ya Kusaka Tiketi ya Kufuzu Michuano ya ...
Michezo ya Kimataifa inaendelea kwa sasa ambapo Timu za Mataifa zinatafuta Tiketi ya Kushiriki Michuano ya AFCON Mwaka ...
Baada ya kuitazama Young Africans ikimenyana na Real Bamako kutoka Mali na kuchukua Alama tatu muhimu, huu ni uchambuzi uliotolewa na Godlisten Muro kutoka Azam Media juu ya ubora wa kikosi cha Yanga Msimu huu kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Aidha Muro ameeleza ubora wa Stephen Aziz kwa sasa kwenye Kikosi cha Yanga pamoja na ubora wa Mwalimu Nabi
Leo kwenye Uwanja wa Uhuru Simba Sc amemkaribisha African Sports kwenye Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation ...
Yanga SC wamewasili Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Nchini Mali,ambapo Siku ya Jumapili ya Januari 26 walicheza Mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi dhidi AS Real Bamako,Mchezo uliyokwisha kwa Sare ya 1-1.