Content removal request!


AL AHLY, CAF KUIVURUGIA ZAMBIA!/ POWER DYNAMOS HALI TETE/ TRY AGAIN AFUNGUKA/ KOCHA AACHIWA MSALA!

Tumefanya usajili mkubwa sana kupitia dirisha kubwa la usajili mwaka huu na ukweli ni kuwa miongoni mwa sababu kubwa ni ushiriki wetu wa mashindano mbalimbali ikiwamo ya AFL, tumejipanga kushindana katika michuano yote mikubwa kufikia malengo yetu -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #zambia #powerdynamos