Goli pekee la Yusuph Mhilu dakika ya 44 limeipa Kagera Sugar pointi tatu muhimu, ikipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons, katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
MWADUI FC VS KAGERA SUGAR: Magoli ya David Luhende, Yusuph Mhilu na na Erick Mwijage yameipa Kagera Sugar ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa kwenye Uwanja wa Mwadui Complex. Haya hapa magoli yote Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Yanga na Kagera Sugar wamevutana shati katika ‘piga nikupige’ iliyozaa sare ya mabao 3-3 kwenye mchezo mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Uwanja wa Banjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Tuisila Kisinda, Deus Kaseke na Mukoko Tonombe wakati magoli ya Kagera yakifungwa na Peter Mwalyanzi, Hassan Mwaterema na Yusuph Mhilu. Haya hapa magoli yote. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli la dakika ya 90 kutoka kwa Meshack Abraham limeipa Gwambina FC sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa leo kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba. Kagera ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Yusuph Mhilu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Namungo FC wakiupigwa mwingi, wamefanikiwa kupata pointi tatu kwa kutoa kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania uliopigwa Oktoba 14, 2020 kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Magoli ya Namungo yamefungwa na Bigirimana Blaise na Hashim Manyanya wakati Kagera wakitangulia kupitia kwa Yusuph Mhilu. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Azam FC imeishushia kichapo cha mabao 4-2 Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Azam yamefungwa na Prince Dube aliyefunga mawili, Obrey Chirwa na Richard Djodi huku magoli ya Kagera yakifungwa na David Luhende pamoja na Yusuph Mhilu. Tazama Highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
MATOKEO MECHI ZA LEO #VPL MATOKEO: Mechi zote sita za leo ambapo Coastal Union imefanikiwa kuvunja rekodi ya Namungo FC ya kutopoteza mchezo nyumbani katika msimu huu wa ligi. FT: Yanga 3-2 JKT Tanzania (Sibomana 11’, Balinya 22’, Molinga 35’ : Adam 13’, Lyanga 45’+2) FT: Alliance 2-1 KMC (Geofrey Luseke 15’, David Richard 30’ : Geofrey Luseke 77’ OG) FT: Namungo 1-3 Coasta Union (Reliants Lusajo 16’ : Mtenje Albano 15’, Deogratius Anthony 76’, Paul Bukaba 90’+4 OG) FT: Kagera Sugar 2-1 Lipuli FC (Yusuph Mhilu 10’, Nassoro Kapama 64’ : Paul Nonga 85’) FT: Ndanda 0-2 Polisi Tanzania (Andrew Chamungu 11’, Idd Mobby 83’) FT: TZ Prisons 1-1 Mwadui FC (Samson Mbangula 83’ : Raphael Aroba 70’) #AzamSports2 #AzamSportsHD #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL