Yanga na Kagera Sugar wamevutana shati katika ‘piga nikupige’ iliyozaa sare ya mabao 3-3 kwenye mchezo mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Uwanja wa Banjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Tuisila Kisinda, Deus Kaseke na Mukoko Tonombe wakati magoli ya Kagera yakifungwa na Peter Mwalyanzi, Hassan Mwaterema na Yusuph Mhilu. Haya hapa magoli yote. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz