Meneja Habari na Mawasilino wa Simba Ahmed Ally akitueleze maandalizi yao kuelekea Mchezo wa tarehe 26/12/2022 katika Dimba la CCM Kirumba dhidi ya KMC FC. Aidha Mahojiano haya yamegusa mipango ya Simba ndani ya dirisha hili dogo la usajili na Semaji amewataka Mashabiki wa Simba kutulia kwani mazuri yanakuja. Sanjari na hayo Ahmed Ally hakuacha mbali taarifa kutoka kwa watani zao Yanga na kurusha vijembe kuhusu tetesi za kuondoka kwa Feisal Salum.
#EXCLUSIVE: MANZOKI KATINGA DAR? JEMBE AFUNGUKA, USAJILI wa BOBOSI - "PICHA za MWAKA JANA, AMEKATAA" Mchambuzi nguli wa soka nchini Saleh Jembe amefunguka juu ya tetesi za usajili Yanga na Simba huku akifungunga mengi kuhusiana na mambo mbalimbali ya kimichezo Bongo... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Hapa utashuhudia Mubashara utani kati ya Mtangazaji Kinara wa Azam Media Ltd Baraka Adson Mpenja ‘Sauti ya Radi’ pamoja na Meneja wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Ally Kamwe walipokutana na kuanza kuzungumza kuhusu ushindi wa Yanga Sc Dhidi ya Coastal Union. Kwa hayo na mengine mengi tazama video hii…..
Hii ni baada ya kutamatika kwa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga Sc na Mbeya City katika uwanja wa Benjamin Mkapa,Yanga wao wakifanikiwa kuondoka na ushindi wa goli 2-0 magoli yote yakifungwa na Fiston Mayele ambae mpaka sasa ana jumla ya goli 10. Haya hapa ni mahojiano na Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga pamoja na mashabiki baada ya mchezo kuisha. Kujua mengi zaidi tazama video hii kufahamu…
Leo Tarehe 19/11/2022 Simba Sc wanarejea tena Dimba la Benjamin Mkapa Wakikaribishwa na Wazee wa 'MPAPASO' Ruvu ...
wasafimedia #htmnews #mpenjatv #hajimanara #simbasc #yanga #millardayo #globaltvonline #subscribe kwa taarifa nyingi ...
EXCLUSIVE: @clementinho49 ni nani? Nini aliambiwa na Nabi na wachezaji wenzake kabla ya mechi? Nani alimtabiria kuwa atafunga goli? Majibu ya maswali haya na mengi kuhusu nyota Clement Mzize utayapata kwenye mahojiano haya.
Yamefungwa jumla ya magoli saba yakiwa ndiyo magoli mengi zaidi kwenye mchezo mmoja hadi sasa ligi ikiwa raundi ya 11.