Content removal request!


CLEMENT MZIZA ATOA YA MOYONI KWA NABI NA MAYELE/HII NDIYO SIRI YA KUWAFUNGA KAGERA.

EXCLUSIVE: @clementinho49 ni nani? Nini aliambiwa na Nabi na wachezaji wenzake kabla ya mechi? Nani alimtabiria kuwa atafunga goli? Majibu ya maswali haya na mengi kuhusu nyota Clement Mzize utayapata kwenye mahojiano haya.