SINGIDA UNITED 2-1 MBAO FC SEPT 10, 2017
SINGIDA UNITED 2-1 MBAO FC SEPT 10, 2017

Baada ya kuanza kuanza vibaya ligi kuu licha ya usajili wa kushtua, timu ya Singida United, ilipata ushindi wake wa kwanza wa ligi kuu dhidi ya Mbao FC ya Mwanza. Mchezo huu ulifanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kwa sababu uwanja wao wa Namfua mjini Singida ulikuwa bado kwenye matengenezo



Goli la Habib Kiyombo FT. Singida United F.C. 2-1 Mbao F.C. | VPL | 10/9/2017 |
Goli la Habib Kiyombo FT. Singida United F.C. 2-1 Mbao F.C. | VPL | 10/9/2017 |

FT. Singida United F.C. 2-1 Mbao F.C. Jamuhuri Stadium 10/9/2017 credit to Azam TV



Mudathir Yahya wa Singida United aeleza siri ya ushindi dhidi ya Mbao
Mudathir Yahya wa Singida United aeleza siri ya ushindi dhidi ya Mbao

Nahodha wa timu ya Singida United inayodhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa, Mudathir Yahya amedai wameshinda mchezo wao dhidi ya Mbao FC baaba ya kufanya marekebisho ya mchezo wao uliopita ambao walifungwa. Katika mchezo huo uliochezeka katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma, Singida iliondoka na ushindi wa goli mbili kwa moja dhidi ya Mboa Fc.



KUELEKEA PAMBANO LA SINGIDA UNITED VS MBAO FC
KUELEKEA PAMBANO LA SINGIDA UNITED VS MBAO FC

Tazama video ya mashabiki kutoka Singida wakitua Dodoma muda mfupi uliopita kuipa sapoti timu yao.




« Previous


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Best Goalkeeper Saves  #Kyrie Irving  #Best Goals  #Shaquille O'Neal  #Zlatan Ibrahimovi  #Lionel Messi  #Boston Celtics  #Michael Jordan  #Golden State Warriors  

Popular Users

#SportsCenter  #katzm  #ddlovato  #wizkhalifa  #TheNotoriousMMA  #oldhossradbourn  #BellaTwins  #darrenrovell  #BeingSalmanKhan  #floydmayweather  #PMOIndia  #richarddeitsch  #TheRealJRSmith  #jadande