Content removal request!


Mudathir Yahya wa Singida United aeleza siri ya ushindi dhidi ya Mbao

Nahodha wa timu ya Singida United inayodhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa, Mudathir Yahya amedai wameshinda mchezo wao dhidi ya Mbao FC baaba ya kufanya marekebisho ya mchezo wao uliopita ambao walifungwa. Katika mchezo huo uliochezeka katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma, Singida iliondoka na ushindi wa goli mbili kwa moja dhidi ya Mboa Fc.