YANGA,SIMBA,MBAO,AZAM,LIPULI,MAJIMAJI...
YANGA,SIMBA,MBAO,AZAM,LIPULI,MAJIMAJI...

TANZANIAN VODACOM PREMIER LEAGUE LOGO TEAM ANIMATION {simba,yanga,azam,mbao,singida,lipuli.......}

Azam TV - Mabao, full highlights Mbao FC Vs Simba SC 2-2
Azam TV - Mabao, full highlights Mbao FC Vs Simba SC 2-2

Mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) kati ya Mbao FC dhidi ya Simba SC, umemalizika kwa matokeo ya sare ya 2-2.

Azam TV - Ndikumana, Mwanjali wazungumzia mtanange Mbao FC Vs Simba SC
Azam TV - Ndikumana, Mwanjali wazungumzia mtanange Mbao FC Vs Simba SC

Nahodha wa Mbao FC Yusuph Ndikumana na mwenzake wa Simba SC Method Mwanjali, wameuzungumzia mtanange wa VPL, uliozikutanisha timu zao.

Azam TV - Bao la Emmanuel Mvuyekure Mbao FC Vs Simba SC
Azam TV - Bao la Emmanuel Mvuyekure Mbao FC Vs Simba SC

Vijana wa Mbao FC wamesawazisha bao la pili kupitia mchezaji wake Emmanuel Mvuyekure, kwenye mtanange wa VPL dhidi ya Simba SC.

Azam TV - Full highlights kipindi cha kwanza Mbao FC Vs Simba SC
Azam TV - Full highlights kipindi cha kwanza Mbao FC Vs Simba SC

Matukio makubwa yaliyojitokeza kipindi cha kwanza mtanange wa VPL, Mbao FC dhidi ya Simba SC.

Azam TV – Bao la Kiyombo, Kotei mtanange Mbao FC Vs Simba SC
Azam TV – Bao la Kiyombo, Kotei mtanange Mbao FC Vs Simba SC

Simba SC inaongoza kwa mabao mawili dhidi ya moja la wenyeji wao Mbao FC, mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL).

Azam TV – Mbwembwe za mashabiki wa Mbao FC Vs Simba SC
Azam TV – Mbwembwe za mashabiki wa Mbao FC Vs Simba SC

Mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) kati ya Mbao FC dhidi ya Simba SC, unaendelea kurindima jijini Mwanza huku vituko vya hapa na pale vikijitokeza.

Azam TV - Bao la Kichuya mtanange Mbao FC Vs Simba SC
Azam TV - Bao la Kichuya mtanange Mbao FC Vs Simba SC

Mchezaji wa Simba SC, Shiza Kichuya, ameitanguliza mbele timu yake kwa kufunga bao moja kwenye mtanange wa VPL dhidi ya Mbao FC.

« Previous Next »

Popular Tags

#Paul Pogba  #Goal Celebrations  #Stephen Curry  #Football Defensive Skills  #Best Ball Controls  #Football Defensive Skills  #Best Goals  #Shaquille O'Neal  #Lionel Messi  #Best Football Defending Skills  

Popular Users

#RobGronkowski  #RobbieSavage8  #cesc4official  #LilTunechi  #BadgerMBB  #baseballpro  #SportsCenter  #KevinHart4real  #cnnbrk  #GNev2  #Ky1eLong  #ATLHawks  #instagram  #hunterpence